Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2013

YALIOJILI PARIS FASHION WEEK 2013- RUNWAY YAWAKA MOTO

Tizama video hapa chini VIDEO 1

Opportunity Education kutoa tablets kwa wanafunzi nchini

Taasisi ya fursa ya Elimu (Opportunity Education) ya nchini Marekani imeazimia kuanzisha mradi wa laptop ndogo (tablets computer) kuanzia mwezi Januari mwaka 2014 nchini ambazo zitatumika kufundishia ili walimu waweze kufundisha haraka na kwa ufanisi zaidi pia wanafunzi watapata nafasi ya kujifunza zaidi. Soma zaidi...

Kenya: Maafisa walikuwa na taarifa

Mawaziri wa serikali walipokea taarifa kuhusu tisho la mashambulizi ya kigaidi kabla ya kundi la Al Shabaab kushambulia jengo la Westgate mjini Nairobi. Kwa mujibu wa taarifa za kijasusi zilizofichuliwa, zilionyesha maelezo ya mipango ya mashambulizi hayo kufanyika Nairobi au mjini Mombasa. Taarifa zinazohusianaKenya Mawaziri wanne na mkuu wa majeshi walikuwa wamefahamishwa kuhusu tisho la kufanyika shambulizi la kigaidi. Watu 67 walifariki na mamia kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi ambalo Al Shabaab walikiri kulifanya Septemba 21 mjini Nairobi. Kwa mujibu wa taarifa za gazeti la Daily Nation, mawaziri walipokezwa taarifa za kati ta yarehe 13 na 20 kuhusu uwezekano wa kufanyika mashambulizi kadhaa ya kigaidi mjini Mombasa na Nairobi. Onyo hizo zilitolewa kwa mara ya kwanza mnamo mwezi Januari kwa mujibu wa gazeti hilo na kwa mara nyingine kuanzia Septemba. Kwa mujibu wa taarifa hizo, serikali ya Israel pia i...

Ujasusi hautajwi hadharani yasema Kenya

Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Nairobi, waziri wa mambo ya ndani ya nchi wa Kenya alitupilia mbali swala kwamba serikali ya Kenya ingefaa kuzindukana baada ya kupata habari mapema kwamba kuna uwezekano wa shambulio kubwa la kigaidi kutokea katika mji mkuu. Waziri Joseph Ole Lenku alilitoa maanani swala hilo la mwandishi wa BBC na kusema kuwa taarifa za ujasusi, yaani intelijensi, ni swala la serikali: "Sifikiri kama weye ndie wa kuniambia mimi nini serikali ingefaa kusema au la. Kuhusu taarifa na ujasusi wetu, hilo halijakuhusu. Soma zaidi...

MWANAMUZIKI NYOTA NICK MINAJ AIPAPASA MIJIBABA VIFUA LIVE

While promoting her new fragrance Minajesty on Friday’s episode of “Ellen,” Nicki Minaj got up close and personal with some hunks. The “Super Bass” rapper was blindfolded and had to sniff the chests of three guys to find where Ellen had sprayed her scent. “Lol. Only for Ellen,” tweeted Nicki. Was she able to identify the spot? Find out how she did.   “I don’t wear bras. I hate bras. Bras are the devil!!!”   VIDEO

Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

Dr. Slaa held a bilateral talk with Senatorial subcommittee on wide ranging issues related to economic cooperation between the United States and Tanzania. The Slaa's arriving at Capital Hill for Bilateral Talks. Wide ranging issues were discussed ! The Slaa's with one of the Senators

PRESIDENT KAGAME IN CANADA FOR RWANDA DAY

PRESIDENT KAGAME IS IN TORONTO, CANADA WHERE HE WILL ADDRESS THE FIFTH EDITION OF RWANDA DAY BRINGING TOGETHER OVER THREE THOUSAND RWANDANS LIVING IN CANADA AND THE UNITED STATES TO CELEBRATE THEIR UNIFYING CULTURE AND RENEW THEIR COMMITMENT TO THE COUNTRY’S PROGRESS. President Paul Kagame Themed Agaciro: Investing in our Future, the event will focus on the next chapter of Rwanda’s development and how the country will achieve its ambition of becoming a middle-income country by 2020. Rwanda Day comes shortly after the government announced the second phase of its Economic Development and Poverty Reduction Strategy (EDPRS2), which, over the next five years, targets economic growth of 11.5 per cent per annum and to reduce poverty to under 30 per cent. Through the previous strategy, 1 million Rwandans lifted themselves out of poverty, as the economy grew by more than 8 per cent each year. This year, the country also launched a landmark Eurobond, which was ...

TANK: NACHUKIZWA NA DRAKE, BIG SEAN KUPEWA PROMO PASIPO YA UKALI

Tank has grown tired of turning on his radio and hearing rappers who sing get more airplay than actual singers.   "A mainstream radio station is more apt to play a rapper singing badly than a singer singing great, " he told HipHollywood. "So right now it's a competition. It's a competition between the R&B singers and the rap R&B singers. And I'm waging war on anybody singing that calls themselves a rapper." VIDEO HAPA

Netanyahu heads to U.S. to challenge Iran’s charm offensive

The Israeli PM will meet U.S. President Barack Obama at the White House on Monday. (File photo: AFP) Al Arabiya Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has left for New York early Sunday in a bid to challenge Iran’s diplomatic charm blitz last week. “I intend to tell the truth in the face of the sweet talk and charm offensive of Iran” Israeli public radio quoted him as saying as he boarded the plane at Tel Aviv's Ben Gurion airport, Agence France Presse reported. “Telling the truth at this time is essential for world peace and security and, of course, for Israel's security,” he was quoted as saying by the agency. Netanyahu earlier this week described Iranian President Hassan Rowhani's speech to the United Nations General Assembly as “cynical” and “full of hypocrisy.” The Israeli PM will meet U.S. President Barack Obama at the White House on Monday then return to New York to address the General Assembly on Tuesday, AFP reported. ...

NEW VIDEO: FLO RIDA - THE DREAMZ "OFFICIAL MUSIC VIDEO"

To coincide with his new venture, The Beamz, which allows users to create music with the movement of hands and laser light, Flo introduces the project with an accompanying new video . Pretty bright, huh? WATCH VIDEO HERE    Behind The Scenes: 2 Chainz “Used To”  2 Chainz recently shot the visual to one of the stand out tracks off his  B.O.A.T.S 2: Me Time . The visual will pay homage to the Hot Boys with cameos from Weezy, Juve, Turk and Mannie Fresh. Stay tuned.

MUIGIZAJI NYOTA MEGAN LYNNE YOUNG AWA MISS WORLD 2013

Philippines—Heavy favorite Megan Lynne Young form Olongapo City bested 24 other aspirants in the 2013 Miss World Philippines pageant Sunday night at the Solaire Resort and Casino in Pasay City and took home the coveted title, P1 million worth of management contract from the pageant organizer, plus gifts and services from the contest’s sponsors.    Young, 23, is a local television personality who first gained prominence as an “avenger” in the GMA 7 reality talent search “Starstruck.” She later moved to ABS-CBN where she scored hosting gigs and other acting projects. On her first foray in a nationwide pageant, Young also bagged the lion’s share of special awards—Best in Fashion Runway, Miss Sports by Fila, Miss Reducin, Miss Olay, Miss Laguna World, Miss Bold and Glamorous by Revlon, Miss Figlia and Miss Bench Body. Palawan native Janicel Lubina placed second and was proclaimed First Princess which comes with a P150,000 prize money. ...

Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa. Viongozi zungumzeni

Zitto Kabwe. Kwa takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya marekebisho ya Katiba ya mwaka 2011. Mjadala na upitishaji wa sheria hii uliweka rekodi ya pekee katika nchi yetu kwa vitendo vya kihuni kutokea Bungeni ambavyo nisingependa kuvirejea kutokana na aibu kubwa ambayo Bunge liliingia. Kiukweli kuna sintofahamu katika nchi kuhusu kuandikwa kwa Katiba mpya. Hii imechangiwa na kurushiana maneno miongoni mwa wanasiasa wa pande zote mbili, wanaopinga muswada ulivyo na wanaounga mkono muswada ulivyo. Masuala ya Tume imalize kazi yake lini, ushiriki wa Zanzibar na idadi ya wajumbe kutoka Zanzibar kwenye Bunge la Katiba, Wajumbe wa Bunge Maalumu wanapatikanaje na kadhalika ni masuala ambayo yanaweza kupatiwa mwafaka kwa viongozi kukaa na kuzungumza. Haya sio masuala ya kushindwa kujenga mwafaka labda kuwe na nia mbaya dhidi ya mchakato wa kuandika Katiba mpya. Katiba...

ETI HII NI SPECIAL KWA WANANDOA TU

Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira. Toka nimuoe hajawahi kufanya kazi yoyote ile yaani Goalkeeper mpaka leo na kutafuta kazi alisha acha. Mpaka leo hii mke wangu hajabadilika. Namlipa mshahara mwisho wa mwezi ambao ni sawa na kama 10k per day yaani (300k). Kila ninapojaribu kumtafutia kazi anafanya kidogo tu anaacha. Huwezi amini hata umlazimishe vipi ajishughulishe mzito ile mbaya. Mi ni mfanyabiashara(Magari Makubwa) nimemuanzishia vimiradi through the years vyote kala mtaji. Kuna kipindi alijaribu kusoma masters ya bussiness administration nkamlipia ada, nunua vitabu vyote alafu yeye akaamua kuacha baada ya mwezi tu Eti kuamka alfajiri hawezi. Nkaja nkamuomba basi asome chuo ambacho atakuwa anaingia mchana nacho alishindwa. Tatizo rafiki yake mkubwa ni mama yangu mzazi hivo kuna kipindi nlikata mshahara wake ili kumlazimisha afanye kaz...

R.KELLY ALIVYOROC POOL PARTY HARD ROCK HOTEL

A famous Las Vegas pool party must have a very relaxed no-pee policy ... because R. Kelly was invited to perform there over the weekend . Wearing a Jesus piece that would make Flo Rida jealous, the "Ignition" singer (and alleged underage pee fanatic) dropped some tunes at the Rehab Pool Party at the Hard Rock Hotel on Sunday, and the crowd went bananas. Of course the truth is, if you're going to piss in public ... there's pretty much no safer place than a Vegas pool.  Everybody does it.

MAMA KIKWETE AKIOMBA CHUO KIKUU KUFUNDISHA LUGHA YA KISWAHILI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongoza kikao cha pamoja kuhusu mashirikiano kati ya Taasisi ya WAMA na Chuo Kikuu cha Monmouth hasa katika masuala ya kuwaongezea uwezo wauguzi na wakunga. Mama Salma Kikwete aliongozana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein Mwinyi. (HM) Soma zaidi...

UKO TWITTER RIHANNA NA TEYANA TAYLOR ' WACHOSHANA'

Rihanna and Ciara had it out on Twitter and now RiRi is dueling with another diva. Teyana Taylor has called out the pop star for mocking her on Instagram. Rihanna posted a video of her male hairstylist performing a parody of Teyana’s “Caught Up in the Rapture” cover while sporting a curly wig , snapback, and sneakers. Earlier this month, the G.O.O.D. Music singer posted a video of her performing the same song, which prompted Teyana to take notice and put her on blast. “Don’t play wit me @rihanna fuck all this industry shit, YOU & I know each other VERY well. Throwing subs 4 wat? u got my #, don’t show off,” tweeted Teyana. Rihanna’s army of fans fired back, but Teyana held her ground. “y’all could bully everybody else & get away wit that shit but that shit ain’t gone work ova here. so y’all could miss me with that NAVY shit,” she said. She continued, “i sing caught in the rapture on IG then she posts her boy singing the same song, the same part, with curly ha...

MAMLAKA MWANZA ZAAHIDI NYASI BANDIA NYAMAGANA

Rais wa TFF, Leodegar Tenga (wa pili kushoto) akiwa na ujumbe wa Mkoa wa Mwanza ulioongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mhandisi Evarist Ndikilo ulipomtembelea katika ofisi za TFF jana. Wa tatu kutoka kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akifuatiwa na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Hida Hassan. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Septemba 25, 2013 MAMLAKA MWANZA ZAAHIDI NYASI BANDIA NYAMAGANA Mamlaka za Mkoa wa Mwanza zimesema zitatimiza ahadi yao ya kuchangia dola 118,000 za Marekani (zaidi ya sh. milioni 190) ili kukamilisha mradi wa kuweka nyasi bandia kwenye Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza kabla ya Oktoba 15 mwaka huu. Mkuu wa Mkoa (RC) wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula wametoa ahadi hiyo wakati wa kikao kati yao na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga kilichofanyika leo (Septemba 25 mwaka huu) kwenye ofisi za TFF. Wakuu hao wa Mw...

MILEY CYRUS AONGELEA MAHUSIANO YAKE NA KANYE WEST KATIKA JARIDA LA ROLLING STONE

Miley Cyrus gets wet and wild in the pages of Rolling Stone . The 20-year-old singer lets it all hang out in her no-holds-barred cover story entitled “Confessions of Pop’s Wildest Child.” A topless Miley soaks in a swimming pool with her tongue out on the cover, gets naked in the shower, and gets a “Rolling $tone” tattoo on her feet. The magazine visited the “ Wrecking Ball ” hitmaker at her house and even went skydiving with her. In the issue, she talks about her controversial VMA performance, advice for Justin Bieber, and friendship with Kanye West , who bought her five pairs of Céline slippers. See the racy photos and read highlights below. On her performance at the MTV Video Music Awards : “No one is talking about the man behind the ass. It was a lot of ‘Miley Twerks on Robin Thicke,’ but never, ‘Robin Thicke Grinds Up on Miley.’ So obviously there’s a double standard.” On getting a pep talk from Kanye West before the VMAs: “He came in and goes, ‘There are not ...

BAADA YA SIMBA JANA KUTOLEWA NISHAI NA MBEYA CITY, LEO NI YANGA NA AZAM

KIUNGO Amri Kiemba wa Simba akiwatoka mabeki wa Mbeya City wakati timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog) VIJANA wa Mbeya City jana walidhihirisha kwamba hawakupanda daraja la ligi kuu kwa kubahatisha baada ya kuilazimisha Simba kutoka nayo sare ya mabao 2-2 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba itabidi ijilaumu kwa kushindwa kutoka uwanjani na ushindi kwani ilikuwa mbele kwa mabao 2-1 hadi mapumziko, kabla ya vijana wa Mbeya City kuchachamaa na kusawazisha kipindi cha pili. Kwa matokeo hayo, Simba bado inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 11 baada ya kucheza mechi tano wakati Mbeya City imefikisha pointi saba. Mshambuliaji Hamisi Tambwe kutoka Burundi aliendelea kung'ara na kuongoza kwa ufungaji mabao baada ya kuifungia Simba mabao yote mawili. Alifunga mabao hayo dakika ya 29 na 33. Mbeya City, inayofundishwa na kocha mzoefu, Juma Mwambusi, ilipata bao la kwan...

Picha za kutisha zilizopigwa wakati wa shambulio la kigaidi la Westgate nchini Kenya

Jana ( S eptember 21) ni siku ambay o wenz etu nchini Kenya hawataisahau kabisa baada ya shambulio la kigaidi kuwakumba. S hambulio hilo lilitokea kwenye Mall ya Westgate jijini Nairobi ambapo watu weengi wa meu awa na kujeruhiwa. Watu waliokuwa kwenye Mall hiyo wakisaidiwa kutoka nje na Askari Baada ya shambulio hilo, kundi la kigaidi la Al-shabaab lilitoa taarifa kwamba wao ndio wanahusika na shambulio hilo kupitia kituo cha habari cha BBC, na kwamba shambulio hilo limetokana na walichokifanya wanajeshi wa Kenya kwa Waislam wa Somalia . Westgate Mall (ni kama Mlimani City ha pa Dar es Salaam ) huwa ina jaza wateja kutoka nchi mbalimbali D uniani . Ni dhahiri kwamba ndugu zetu wamepata tabu sana kwa tukio hili, ni shambulio ambalo limefanya idadi ya waliofariki kufikia 39, zaidi ya watu 600 wameokolewa kutoka ndani. Inasemekana watu watano wamekamatwa kufatia tukio hilo na mmoja amefariki . BBC Swahili pia imeandika: Afisa mmoja mkuu wa kundi la kigaidi la Alshabaab, ...

DOUBLE J FINAL MBIONI KUINGIA SOKONI

Filamu ya Double J      FILAMU   ya Double J Final ni kazi ambayo imepokelewa na wapenzi wa filamu Bongo na kuamini kuwa ni kazi ya mwaka, nimekuwa  niakitumia muda mwingi katika utayarishaji wa kazi zangu  ambazo zimekuwa bora kila zitokapo. . Filamu ya Double J Jimmy Master nikiwa katika  action.

Jeshi la Nigeria lawaua wapiganaji 150

Jeshi la Nigeria, linasema kuwa limewaua wapiganaji 150 wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram wakati wa msako dhidi yao wiki jana. Soma zaidi...

INTERNSHIP POSTS AT TAMWA OFFICES;

Tanzania Media Women Association (TAMWA) is a media advocacy non-partisan, non-profit sharing professional media membership Association registered in 1987. TAMWA has two offices; Zanzibar and Dar es Salaam Vision: A Peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. Mission: To advocate for women and children's rights by conducting awareness raising activities for cultural, policy and legal changes/transformations in the society through the use of media. Soma zaidi...

HOT COUPLE: BIG SEAN NA NAYA RIVERA

Big Sean and Naya Rivera are one hot couple . The “Beware” rapper and “Glee” star go in front of the camera for famed photographer Terry Richardson in a series of sexy photos . A grinning Sean shows off his toned torso, while Naya peeks out in a skimpy top. Sean even tries on Richardson’s glasses while recreating the photog’s famous thumbs up pose.   Naya is working on her debut album for release on Columbia Records in 2014. Her first single “Sorry” is now available on iTunes featuring her beau.   “so proud of @NayaRivera 4 working so hard and putting her 1st song out to the world! I love u. Glad 2 b apart of it,” tweeted Sean.

Iran yasisitiza kuwa haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia

Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani amesisitiza kuwa nchi yake kamwe haitakua na mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na Marekani na nchi za magharibi. Rais mpya wa Iran Hassan Rowhani Rais huyo amesema kuwa serikali yake itaelekeza nguvu kwenye mazungumzo na nchi hizo na hivyo kukomesha hatua ya Iran kutengwa na dunia kwa madai kuwa inalenga kutekeleza mpango wa nyuklia utakaozalisha silaha za nyuklia. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Marekani cha NBC, tangu pale alipo chaguliwa kuliongoza taifa la Iran mwanzoni mwa mwezi Agosti, Rohani amethibitisha kuwa alikuwa na mawasiliano na rais Obama ambaye alimuandikia risale. Katika risala hiyo Rohani amesema Rais Obama alimpongeza baada ya kuchaguliwa kuwa rais kuchukuwa nafasi ya Mahmoud Ahmednejad na kugusia maswali mengine muhimu na ambapo alionyesha kuwa mtulivu. Rohani ameendelea kusema, alijibu barua hiyo ya Obama na kumshkuru na baadae kumpa maoni ya jamuhur...

WE ARE SET TO MAKE JKIA AFRICA HUB, UHURU SAYS

NAIROBI; KENYA: PRESIDENT UHURU KENYATTA ON SATURDAY SAID WORK IS GOING ON TO MAKE JOMOKENYATTA INTERNATIONAL AIRPORT AN AIR TRAVEL HUB IN AFRICA. resident Uhuru gestures while touring JKIA. Photo:PSCU President Uhuru gestures while touring JKIA. Photo:PSCUPresident Uhuru gestures while touring JKIA. Photo:PSCU Speaking after touring the facility, the President expressed satisfaction that operations at the airport have resumed to levels prior to the fire incident, a month ago. “With the kind of development we are seeing here, we are hopeful that we will be able to get the airport to be an air travel hub in Africa as a whole,” the President said. Following the President’s directive, the Garage Facility at the new Terminal Four was opened for Arrivals and the tents that were previously used have been removed. Work on the new Terminal Four has been fast-tracked and it will be completed by December. He said work on the new Greenfield project, a co...

More than 500 missing in Colorado floods: Death toll rises to five as more rain threatens further destruction over 4,500 square miles

By DAILY MAIL REPORTER and RYAN GORMAN Colorado residents are bracing themselves for further flooding and devastation, with more storms due to hit on Sunday. More than 500 people are missing and at least four people have died, with another victim believed to be dead, after flash floods. Many residents are still stranded in their homes as rescue workers try to reach them. Boulder county officials fear rescue attempts will be hampered by the extra 4in of rain due on Sunday. Demolished: The walls of this home have been washed away on South Platte River Wrecked: Only the roof of a Jamestown house remains after flash floods ripped through the town Cut off: A farm house is completely surrounded by rising water Swept away: A large chunk of road near Greenley, Colorado, has been demolished by the flood Evacuation: Residents have been told if they don't leave they risk being cut off for two weeks Authorities who still haven...