lakini blog hii ilipotaka kujua undani akang'aka.
"Huyu Jay ni Shemeji yangu nakama ukinipiga picha poa tu , ina eleweka naomba tupige picha
za kufa mtu,"alichonga mdada huyo.
Kwa sasa prodyuza Jay toka Mawingu studio
ana paaaa ilembaya ni gumzo Dar es Salaa hasa
kwa kazi nzuri inayomwonesha katika video ya
Banana Ally Zorro katika tirack la 'Nzela'.
Comments