(Pichani) kulia ni muimbaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi wa Twanga Pepeta wa pili ni mimi Machibya mwenye blog hii na kulia ni Ismail kulikuwa na mambo kibao yaliyokuwa yakichengua kinamna usiku wa jana sambamba na urtaratibu uliopo katika jiji la Dar es Salaam yale mambo ya kujiachia uku bata zikiendelea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments