Mishel nyumbani kwao Fizo maeneo ya Magomeni juzi. Mwaka 2002 ndipo haswa makamuzi yake kwenye gemu yalionekana dhahiri , kwa sasa mchizi kaisha jua mambo kibao ya gemu na hivi karibuni ametua kutoka Uganda anasema mabadiliko ni lazima kwa msanii , wasanii Uganda wapo juu sana kimaisha sikia tu kwanini na hapa pasiwe kama kule !!! haya ni maongezi tulipo kuwa tukipiga nae story.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments