Pichani ni gari la polisi Difendar lilofika katika tukio na kuchukua mwili wa marehemu.
Baadhi ya Polisi wakiwana gurofisi mkononi walizokuwa wamevaa , kama unavyoona (pichani), nyuma ya gari hilo kushoto Polisi akiwa anaangalia mikono yake.
Inasemekana kuwa majambazihao wali tumia kisu kumchoma mpaka kufa mhindi aliyekutwa na Polisi kafariki ghorofa ya tatu.
Comments