David Nyondo leo mchana kwenye Ofisi za TFF amechanguliwa kuwa ndiye mwana michezo bora wa Desemba mwaka jana. (Pichani) ni Viongozi wa Taswa wakisimamia uchaguzi huo dhidi ya waandishi wa habari
hata hivyo ushindi huo ulichuana vilivyo na Mrisho Ngasa wa Yanga mpaka kufikia kura kuhesabiwa mara mbili hali iliyopelekea Ngasa kudondoshwa kwa kuzidiwa kwa kura nyingi na David amabye amejikombea kombea ushindi mwingi katika michuano ya utunishaji wa Misuli.
Comments