Pichani kutoka kushoto ni mtumaarufu huyo akiitwa JB muda sana wa Feleva nite wapili kutoka kushoto ni Dj Kevin Twisa na mwanzini kulia ni Dj Bon Luv wakionesha nyuso zenye fulaha mara kadhaa kabla ya usiku huo nilikuwa nikiwaona Bon Luv na Twisa wakitwanga mangoma kiwanja cha Lataverna Mikocheni kwa asas kiwanja hicho hakipo .
Usiku huo Twisa alikimbisa kwenye 1 , 2 akitwanga muziki wa Ragga na wadau na mashabiki waliona miujiza kwa muda takribani nusu saa hivi pale Dj Mac kay alipo mpisha Twisa kufanya maunjanja yaliyowapa mashabiki rahat ele .
Comments