Hapa ni Makao Makuu ya (TFF), ambapo juzi juzi palikuwa bize vibaya wadau wengi walikuwa wakiingia na kutoka kutokana na ujuo wa mechi a
Ivory Coastiikia imetua na Nyota wake wote.
Benny alikuwa mmojawa wadau waliopafanya pawe bize katika Ofisi hizo.
Alishuka katika gari la rangi ya bluu, na hapa
anazi fesi ofizi hizo alienda moja kwa moja kwa Kaijage na kupata gati pasi kwa ajili ya mechi hiyo.
Si unakumbuka Benny ndiye aliyewahi kuitangaza mechi ya Staz na Msumbiji iliyooneshwa na
na Channel 5 kuotka nchini Msumbiji , hivyo basi elewa jamaa huyu ni mdau anaye heshimika si haba kwake kupata FreePas za kuingia katika mechi kama hizo.
Comments