Mpaka hivi sasa ukumbi wa Mzalendo Pub jana umeonesha cheche za kutisha pale msanii msanii maarufu Lady Jay Dee
alipopingwa jana na mashabiki kwa kibao chake cha Mtalimbo Umelala Dolo .
Ilikuwa ni usiku wa manane pale Dj Mackay alipoporomosha
mduara atari , ambapo wimbo wa 'Jede ; huo unaovuma sana
katika maadhi ya mduara ulipopingwa kwa wanawake kuanza
kusema haujalala Dolo kwani kila kidume kilikuwa kimekamatilia wake mduara ulikuwa auendi mbele hali hiliyo fanya mabinti wapaze sauti kwa kugundua hali za midume kuwa si dolo tena .
Safari ilikuwa ndefu kwani ilichua saa moja na nusu mduara ukipeta ileile mkuu.
Comments