MARIAM Mdeme ambaye nyota yake ilishaini mika sasa tangu akiwa kwenye kundi la uigizaji
la Kaole kwa sasa anapoteza ilembaya katika anga la filamu Bongo ambapo kwa sasa
anga la filamu limekuwa na ujio mzuri wa nerehema , kwani wengi wasanii hao wameonesha
kumiliki magari mazuri sambamba na kuwa juu katika mambo mengi tu ya kimikwanja.
Filamu la Pooja ndio ujio wake Mariam akiwa amewashirikisha nyota kibao kama
Jini Kabura ,Mzee Chilo, Kojaki , Sinola , Chid 'Mzee wa mbele'Sitive Nyerere
wengine ni Dr Cheni Dotinata na wengine Kem Kem.
Comments