Naodha wa timu ya Togo na mchezaji wa Manchester City Emmanuel Adebayo ameuzunika sana na kitendo kibaya kilichofanywa na Waasi wa Angola waliompakani , wakati timu hiyo ilipokuwa ikivuka mpaka kuelekea mashindanoni .
Timu hyo ilitekwa na waasi hao na wachezaji wawili walipigwa lisasi na tayari wamefanyiwa upasuaji na wachezaji wengine kujeruhiwa.
Tayari Adebayo ametishia Togo kujitoa kwa togo katika mashindano hayo , jumatati kwa mujibu wa ratiba ya CUF itashuka dibani na timu ya Taifa ya Gana nchni Angalo.
Comments