MSANII wa muziki wa bongo Flava Zawadi Nalinga 'Mr Zawadi 'mwenye maskani yake Mtwala kwa sasa Yupo jijini Dar natayari ameanza kukamata kasi kati anga za muziki huo, singo anayo aliyo sambaza imeaza kubamba chati za mziki ikiitwa Miss' ni moja ya kazi ya kweli na tayari kipindi cha redio Times FM kiitwacho Bongo Dot Home uku Dj Juice akifanya makamuzi ya kufa mtu kupitia mawimbi hayo , ebwana si kikuku singo linataambaa kiasi kwamba .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments