Pichani ni wakwanza kulia ni Dj White wa Radio One katikati ni Side Boy aliyekuwa Gangwe Mob wakati kundi hilo likitikisa pia alianza mafani
wakati tukisoma darasa la saba pale shule ya msingi Muhimbili jijini Dar es Salaam .
Alikuwa tayari (anausiponi), alikuwa mzee wa kuchill darasani namkumbuka , kulia ni mimi mwenye blog hii nilifurahi kuingia mwaka mpya tukiwa na rafiki tuliye soma nae shule ya msingi tena darasa moja.
Comments