Huyu ni Daniel Nyalusi (Senior Partner) wa Dean Space Inc.
iliypo maeneo ya Shekilango Rd , Calfornia St - Sinza Website:www.deanspace.co.tz.
Hapa akila bata wakati wa usiku wa kuipokea sikukuu ya Mapinduzi Jumatatu usiku kwenye disko la watu wa Fleva nite linalo twangwa kila siku za sikuu na siku ya Jumamosi chni ya Dj Bon Luv & Dj Mackay Mzalendo Pub ndani ya wa Millenium Towert.
Comments