Skip to main content

Dr Ambe aingiza tena My Dear Soseji

KITAA sasa apatoshi siunajua mapenzi yanaongoza maisha basi
Dr ambe mwenye umaarufu katika kukuchombeza ndani ya starehe za kimahaba amedondosha kali na zinanunuliwa kama.. mitaani
usimkose kumsoma babake mamboflani Pipi ya Kijiti fuuuuuuuu mautamu na sasa kila wiki atakuwa akishusha kali katika blog hii usikose kuchabo si unajua kila uchao utinga na mambo yake .

Comments