Msanii nguli H -BABA akiwa ndio anajiandaa kuingia ClubBillz jana.
Duu nimepata Get Pass kutoka kwa mudau wa onesho la shoo hii ya hapa sasa tangu kifunguliwe upya kiwanja cha Billicanas nilikuwa bado sijaja kabisa .
Hayo yalikuwa ni maneno yake H -Baba ambaye alionekana kupaki gari lake taratibu ukuwalinzi wa usiku wa Club hiyo wakimwelekeza jinsi ya kulipanga kwenye mstari.
Walinzi wa hapo wanafurahisha sana kwani nje tu paking inawalinzi saba na taa za nje zinamulika ilembaya kweli ikikiwanja kina usalama mkubwa na ndani kuna mabaunsa wa kutosha ambapo hata kama wewe ni mkolofi kichapo chao
ua kina julikana kwa watoto wote wa mjini .
Na kutokana na kulijua hilo akuna mjanja anayeweza kubishananao hata chembe , na ukiona eti mtu anabishana nao ujue huyo akijui kichapo atakuwa ni mshamba na haliya kukosea kwake ua anapeleka stori haliko tokea kama ni kasamwa , buongwa , bunju Shinyanga , Dodoma.
Comments