Hapa walikutana Hemed ambaye kwa sasa ni muigizaji mzuri wa filamu Tanzania aliwai kuvuma kupitia mashindano ya Project Fame (Pichani Kulia), na kushoto ni msanii Tundamani .
Jana sitori zilipigwa za kudatishana ambapo Tundamani juzi juzi tu alikuwa akipiga shoo wakati wa mwaka mpya huo BondeNI Afrika Kusini yeye na mwenzake Madee Rais wa Manzese.
Hapa walishea mawazo uku kula bata kukitawala kwa sana tu si unajua Billz ilivyokiwango kwa sasa.
Comments