Bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia usiku wa jumamosi ilidondosha kijembe , ikisema kuwa licha ya maneno maneno yanayosemwa vibaya kwingineko wao
awatishiki .
Tumeisha zoiea kusemwa wibaya ukiwa mtumzima lazima
ukubali lawama , si unajua utuuzima jalala , atujali hapa
kazi tuuuu babake .
Ndivyo walivyo hamua kuvua ukimwa kwa mahasimu wao
bendi flani flani za hapa nchini .
Ulikuwa ni mpasho wa gafla sana wakiwa kazini usiku huo.
(Pichani) ni Pablo masai akiwajibika katika usiku huo.
Comments