KATIKA kuhakikisha sekta ya kilimo inapewa kipaumbele katika kujenga uchumi ambapo
ubalozi wa Ireland umetoa msaada wa shilingi 2.6 bilion ili kuweza kukuza sekta hiyo
hapa nchini.
Akizungumza nawaandishiwa habari Dares Salaam mwakilishi wa (WFP) nchini Tanzania Michael
Dunford alisema msaada huo unafuatiwana juhudi za ubalozi huo kwakushirikiana na mradi
wa kupboresha sektaya kilimo awamu yapili Agriculture Sector Development(ASDP11)
"Mradi huo wa ASDP awammu ya pili unaelenga kukuza sekta binafsi na viwanda ili
kuleta tija katika kukuza sekta ya uzalishaji na kukuza ajira,"alisema Dunford.
Dunford alisema mradi huo unalenga kukuza uzalihaji wa chakula na kupeleka chakula
katika meeneo ya karibu na kambi za wakimbizi kama vile Burundi,Congo pamoja
na kambi zilizopo mjini Kigoma.
Alisema mradi huo unawalenga wakulima takribani 6000, na kuwa utajumisha kukuza
uzalishaji wa bidhaa za wakulima na kutafuta masoko.
"Sambamba na mradi wa Agriculture Development Program(ASDP11) pia nchi ya Ireland
kwa kushirikiana na nchi za Denmark na Sweden,watasaidia kukuza viwanda vidogo vidogo
na vile vya kati,"aliongeza Dunford .
Aliongeza kuwa taasisi ya development trust imewekeza dola 12.6 millioni
sawa na shilingi bilioni 28,8 kitanzania mnyororo wa thamani wa mazao
ya biashara ikiwemo halizeti na mahindi.
Dunford alisisitisa kuwa mradi huo utanufaisha wakulima takribani 190,000
katika mikoa 15 nchini.
Naye balozi wa Ireland Poul Sherlack alisema kuwa fedha hizo zitaweza kusaidia
kukuza sekta ya kilimo kuleta mageuzi ya viwanda kuelekea uchumi wa kati.
"Katika kuelekea uchumi wa viwanda sekta ya kilimo nimuhimu sana kwa
nchi ya Tanzania katika kukuza mnyororo wa thamani wa bidhaa,"alisema
Sherlack.

Comments