Skip to main content

LULU ANA MIMBA YA MIEZI MITATU




             
 
Utata kama Elizabeth Michael ‘Lulu’, (pichani) ana mimba au la, umetatuliwa baada ya mwanamitindo maarufu Bongo anayefahamika kwa jina moja la Martin kutoboa siri kuwa ni kweli staa huyo ana mimba ya miezi mitatu, Risasi Jumamosi linafunguka.Akizungumza na mwandishi wetu, Martin ambaye ni rafiki wa karibu wa Lulu anayesota rumande Segerea, Dar akiwa mshukiwa wa kwanza wa kifo cha Steven Kanumba, alisema kwa hesabu zake tangu msichana huyo aliponasa ni takribani miezi 3 sasa.


                         
                                                Lulu akiwa na mwanamitindo Martin Kadinda

WALIJARIBU KUICHOROPOA MARA KADHAA
Jamaa huyo alifunguka kuwa baada ya Lulu kushtuka kuwa ni mjamzito alimweleza marehemu Kanumba ambapo kwa pamoja walijaribu kuichoropoa mimba hiyo lakini ikasema “sitaki” (ikashindikana).Aliendelea kudai kuwa, baada ya mpango huo kufeli waliamua kuiacha hadi Lulu alipokumbana na dhahama ya kukaa nyuma ya nondo hadi leo.


                                             
“Yeye (Lulu) na Kanumba walijaribu mara kadhaa kuitoa lakini ikashindikana.”alisema mwanamitindo huyo. Jamaa aliweka wazi kuwa ‘sheshe’ kubwa kati ya Lulu na marehemu Kanumba lilihusiana na mimba hiyo.“Kanumba alikuwa akitaka Lulu akatoe mzigo huo, lakini Kalulu Kadogo (Lulu) alikataa katakata,” alisema na kuongeza:“Aisee ilikuwa ni ishu ya siri sana.

Madai ya Lulu kuwa mjamzito yaliripotiwa kwa mara ya kwanza wiki iliyopita ambapo ilielezwa kuwa mbali na kitumbo kumtoka pia, alikuwa akichagua aina ya vyakula.Inatoka kwa mdau

Comments

Anonymous said…
Wow! This blog looks just like my old one! It's on a completely different topic but it has pretty much the same page layout and design. Outstanding choice of colors!
My site : You Could Try These Out

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...