Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2009

Matumla na Marwa Kuzichapa Kesho

Pambano Kali la mastaa wa ngumi Duniani , wakiwa wamewai kubeba mikanda ya dunia Rashid Matumla (Snake Boy) na Joseph Marwa (Smart Boy). Kesho kwenye uwanja wa Uhuru Stadiam watapandakuzintwanga . Pichani ni ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo mchana , walipo kuwa wakizungumza na waandishi wa habari .

Berba Akikata kona Kinamna yake

Serikali Yapata Pigo Jingine

Waziri Mkuu wa zamani Mzee Rashid Mfaume Kawawa (83), Rais Jakaya KIkwete akiongozana na ndugu na jamaa na marafiki wa marehemu , alifika na kumkuta Kawawa akiwa chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitaliya Tifa Muhimbili (icu),akisaidiwa kupumua kwa mashine. Ikiwa zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2009 ,Serikali ya Tanzania imepata pigo ya kuondokewa Waziri Mkuu huyo wa zamani.Mwaka 1977 alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kufuatiwa na Sokoine na baadaye alikuwa katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi.

Kawawa's first job was as a Public Works Department accounts clerk

Kawawa's first job was as a Public Works Department accounts clerk. This was a most difficult period for the young man. With the death of his father, he assumed the responsibility of supporting his younger brothers and sisters. In 1951 Kawawa realized a long-standing dream of becoming a social worker. He had actually inaugurated this career by organizing a literacy campaign for adults while a student in Dar es Salaam. On his new job Kawawa joined a mobile film unit engaged in government literacy programs. When it was decided to use the unit for educational filming, he was chosen as the only Tanzanian leading actor. He also served as a scriptwriter and a producer. Perhaps the most important aspect of Kawawa's social worker career occurred when he was sent to central Tanzania (1953) to work among Kikuyu detainees held because of the Kenyan Mau Mau movement. He later described his successful work there as the "greatest challenge of my life." Government Service Kawawa joi...

Ni mandhari bomba ya Mitaa ya Posta Mpya !!

Mchabo Msukuma Ndinga Huyu!! Anavibweka vya Kufa Mtu Uwanjani ebwana Diouf huyu

Ni Mandhari ya Eneo la Posta Mpya Leo

Haya ni Mandhari ya mji wa Dar es Salaam , leo hasubuhi mida ya Saa nne . Jengo refu zaidi l(Pichani )linaitwa Jengo la Benjamini Mkapa. Eneo hili muda wa jioni ua kuna abiria kibao wakisubiria usafiri wa daladala maranyingi usafirikatika eneo hili ua na usumbufu .

Wafanya kazi wa Kampuni hiyo (pichani ) wakiwa katika hatua za kushehereeka

Katika nyakati hizo za sherehe ilitamkwa na mhariri wa Mkuu wa magazeti ya Spoti Starehe na Dar Leo Masud Sanani alisema kuwa gazeti hilo limepita katika mambo mengi mpaka kufikia hapo lilipo sasa. Kwani hata matangazo yalilipwa kwa (Policy),iliyokuwepo kwa wakati huo. Ambapo (Policy) hiyo kwa sasa hipo tofauti sana na wakati ule kwa sasa matangazo yanachukua kurasa zaidi lakini Sera ya wakati ule ilikuwa haiko kihivyo. Na ikatamkwa kuwa gazeti hilo la Majira ni moja ya gazeti bisafsi lisilo la serikali liliopitia changamoto nyingi .

Viongozi wa BPTL wakitoa na Saha Tafrija ya Kutimiza miaka 16 ya Gazeti la kilasiku la Majira (News Room)

Hapa Keki Ikikikatwa katika Basdei ya Gazeti la kila Siku la Majira

Besdei ya Miaka 16 ya gazeti la Majira

Komesha Ukatili huu Stop Kumpiga Mkeo

By Tibasma

Peacock Hotel

Cheki Makamuzi ya Mad Ice kiwanja mbele

DJ Mayanga

Anga hizi huyo ni Dj Mayanga mikono yake ni muhimu sana pale kwenye ukumbi wa Zhonghua Garden barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam. Kwa malengo yake yanaweza kufikia hali kubwa zaidi kuliko hapo wadau mmmm ...much respect

Pozi Bab kubwa la Kanumba Duu hii Limetulia

Huyu ni Kanumba msanii mahiri kwenye anga za uigizaji nchini sanaa yake inapanda chati hadi siku . Kwa sasa wasanii hawa maisha yao kwa levo za hapa nchini ni mazuri wanasukuma mikoko , sanaa ya filamu imekuwa ikichapa mwendo ile mbaya asikwambie mtu. Japokuwa wasanii kama Dudu Baya walionesha kupiga hatua kubwa siku za mwanzo mwa muziki wa Bongofleva kama kupanga nyumba nzima na si kukaa getto . Ambapo Dudu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa muda wote alionekana kuwa na maisha katika gemu na akang'ang'a nia kupanga kwa kuishi kiihivyo tofauti na wasanii wanao shine pasipo kupanga hata chumba kimoja , juudi hizo kwa wasanii wa filamu zimefunikwa kwa mfuniko mpana wasanii wa filamu baadhi yao wametoka na wanamiliki mikoko ya maana gemu la filamu liko juu babake kwa sasa na si nchini hapa tu hata mbele mastaa wa filamu wanawagalagaza vibaya hoi wasanii wa muziki pekee kimaisha.

Eee !!! Huyu DJ Bonny Luv na Kifaa chake

Kwa raha zao , ebwana ndio ni muda wa usiku kwenye mjengo wa Millenium Tower Kijitonyama Dar es Salaam , wapo Mzalendo Pub sehemu linapopolomoshwa disko kila siku ya jumamosi , disko lililopewa kauli mbiu bomba iitwayo Fleva Nite Mkali Dj Mackay na Oscar pia mikono yao usugua kwenye moja na 2 . Hapo pichani ni Mwana Dada Sabah ambaye ni kifaa haswa cha Bon Luv.

Rapa Kitokololo wa FM Academia

Hapa ni Mwananyamala

Nyumba ya kwanza kushoto ni makazi ya wasanii wa muziki wa dansi kutoka bendi ya FM Academia 'wazee wa ngwasuma(Pichani) , hapo gari ilipopaki.

Muda wa usiku gari zikiwa zinaegesha hapo kwenye maegesho ya Zhonghua Garden

Hii ni Sehemu ya Maegeshoya Magari Mzalendo Pub

Wana raha zao hawa siunaona sura zao

Mh .Azzan Zungu Akiteta na Watoto Waishio Kwenye Mazingira Magumu Leo mchanamaeneoya Posta Dar es Slaam

HOTUBA YA MWENYEKITI KWA MGENI RASMI MH.AZZAN ZUNGU-HOTUBA HII NI MAONI YA WATOTO WANAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU(MITAANI)DSM,TZ MH MGENI RASMI AZZAN ZUNGU TUNAKUKARIBISHA SANA NA TUMEFURAHI KUJUMUIKA NASI PAMOJA SIKU HII YA LEO.SIKU AMBAYO ITAKUWA NI HITORIA KWETU KWA SABABU TUNAAMINI KILIO CHETU KITASIKIKA MHESHIMIWA MGENI RASMI NI VYEMA UKAJUA KWAMBA WATOTO WANAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU NI WATOTO KAMA WATOTO WENGINE HIVYO WANAHITAJI KUPATIWA HAKI ZOTE MUHIMU KAMA WATOTO WENGINE UNAVYOTUONA TUMEKUWA TUKIPATA SHIDA NYINGI SANA TUKIWA MITAANI BILA YA KUPATIWA UFUMBUZI WA KINA,SHIDA HIZO NI PAMOJA NA KULALA NJE KULA KWA TAABU KUPATA ELIMU KWA TAABU NA HATA MAVAZI NI YA SHIDA KUTOKANA NA HALI HALISI YA MAISHA YETU.TUMEKUWA TUKIHANGAIKA HUKU NA KULE KUTAFUTA UFUMBUZI WA MATATIZO YETU BILA YA MAFANIKIO YOYOTE,KAMA UNAVYOJUA MHESHIMIWA KITENDO CHA MTOTO KULALA NJE KAMA TUNAVYOONEKANA TUKILALA VIBARAZANI VINAATHIRI SANA KISAIKOLOJIA BADO HUKU VITUO VILIVOPO NA TAASISI HUSIKA MBALIMBALI BILA ...

Pichani ni matukio tofauti

Dj Bon Alipo kuwa Akitupoteza !!!!! Mzalendo Pub

Pwaaaa unacheki hapo mamboyanavyosonga ni Dj Bon Luv akiwa sambamba na Mad Ice usiku wa jana ebwana eeeee jana sooo ilikuwa poteza poteza siunaona hiii .

Hivi ni Vijimambo vya Janausiku

Picha ya chini ni Prodyuza Jay toka mawingu Studio akioneshana sms na Mwanamke wa Kizungu usiku wa Jana kwenye Pub ya Mzalendo iliyopo kwenye . mjengo wa Millenium Tower maeneoya kijitonyama .Picha ya juu msanii nguli Mad Ice akichonga na Dj Venture katika ukumbi huo huo usiku ambapo sitori zinaendana na makamuziya kula bata.

Matukio tofauti Pichani Mad Ice akichonga na Sabaha usiku wa Jana Mzalendo Pub

Eneo hili ni Leo Karia Koo

Pichani nileo maeneoya Karia Koo hali ya pilika pilika imebaki kuwa tulivu . Hata baadhi yaMgambo wa Jijini hawajaonekana na hata machinga nao walikuwa nadra sana katika mitaa hiyo . Hii picha imepigwa leo saa 8:16 mchana.

Msanii wa nyimbo za Asili mbioni Kufungua Duka!!!

Costa Siboka kushotoambaye nimcheza ngoma za asili hivi karibuni abambwa na blog hii akipata ushari kutoka kwa mtuwamakamo . Siboka kama unavyomuona pichani kuna ujenzi ambapo anajiandaa kufungua mradi wa kuuza samaki akizitoa Ziwa victoria , hapa ni mwana nyamala kwa Mwanamboka.

Petro Station Hii Ataukifika usiku wa Manane Unapata Luku

Moja ya maeneoambapoukitaka Luku hata usiku wa manane unaipata nihapa kwenye kona ya kuingia Kijitonyama ukishuka kwa chini kuna daraja dogo unaweza ukaelekea kwenye jengo la Millenium Tower . Picha hii imepigwa usiku ambapo baadhi ya watu mbalimbali walikuwa wakinunua Luku.

Bara bara hii ndipo ilipo Kinyaiyaz Pub nyuma ya Mangogarden

Baadhi ya wakazi wa eneo hilo japokuwa Ben Kinyaiya anapata wateja wengi , lakini moja ya majilani zake na watu wanao mjua , wanamueleza kuwa ni kijana safi ana maneno maneno na majirani hivyo hatua ya kuanzishwa kwa Pub hiyo kunaungwa mkono na vijana wa mjini pamoja na majirani . Kwani muda wa jioni ParKing za magari hua ni soo na ufanya msongamano kutokana na Pub hiyo kuwepo kwa hivi sasa . "Hatuwezi kumwambia kitu ni jirani yetu mpendwa tena amekulia maeneo haya ni mtoto wetukwa ujumla ," hayo yamesemwa na mama mmoja leo ambaye ni jirani kabisa wa Ben. Ben Kinyaiya awali alikuwa mtangazaji wa East Afrika Redio, kitu ambachokimemjengea umaarufumkubwa , Ebwana Ben Big Up.

Hii ni Kinyaiyaz Pub

Bwana mahala hapa kwa sasa ni soo , ni Pub inayomilikiwa na Ben Kinyaiya iliyopo Mwananyamala , Nyuma ya Mango Garden.

Vipi tena Mdau wakioneshana SMS Usiku Mzalendo Pub

Huu hapa Pichani ni mjengo wa Hopital ya Tba za Moyo

Huko hapo Mkabala na Viwanja vya Leaders Leaders , jana viwanja hivyo vilikuwa kimya si kawaida yake. Jana kulikuwepo bango la kitambaa likiwa limeandikwa hivi ADA Excutive Apartment ready For Rent.

Mjengo ulipo Mkabara na Viwanja vya Leadres

Mjengo huo ni Hospital , kuwepo kwa mjengo huo inasemekana maonesho mengi sasa uenda yasifanyike katika viwanja hivyo.

Hoyooooooo kitaeleweka hapa lazima watasepa kiaina

Wanachonga sasa situondoke saa hii bwana , kupeana tu mate kwa kufarijiana akutoshi , hapa wamesogea pembeni kwenye muzi wa mkubwa huo unaochomoza ua kuna heka heka za kuchizisha usiku Mzalendo Pub.

Haya hapa Dj Bon Akitwanga Mangoma ya adabu yaani R&B 'zakufa mtu' jama kaanza kubembeleza

Kaa!!! kabembeleza wee , hatimaye alikuja kuwini tena kiulaini chabo picha itakayofuata hapo juu.

Ufukwe wa Coco Beach jana Wakazi Wengi wa Jiji la Dar es Slaam walifika Kujiachia

Hapa mkuu ilikuwa hekaheka jana , mambo yalikuwa fuuul kujiachia kwa rika zote yaani watoto na watu wazima walionekana wakiwa na nyuso safi zenye furaha Sikukuu ilikuwa imetulia .

Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam Wakijivinjali kwa Raha zao jana kwenye Ufukwe wa Coco Beach

Jana ilikuwa siku ya sikukuu kwa waumini wa madhehe Kristo wa madhehebu ya Kikiristo Duniani kote wakisherekea kuzaliwa kwa Kristo , hivyo jioni (Pichani) wakazi wa Jiji la Dar na viunga vyake walijiachia kinamna katika fukwe ya Coco Beach.

Kamera ya mbamba kwa mbali Dj venture

Ilikuwa usiku wa manane bwana,blog hii ikiwa mzigoni , basi Dj huyu na kimwana walionekana kutelemka ngazi za mjengo wa Millenium Tower . Ni baada ya demu kuwa amepombeka gafla waliona mwanga wa kamera , Dj huyo alilalamika kuhusu mwanga wa kamera , lakini Venture hawa vimwana mazee wewe ua unawapa nini!!! MBONA HIVYOOOOOOOO.

Hawa ni King Kif Nigga (Mastar Kif (Pichani Kushoto) na kulia ni Dr KB

Hapa mwanablog zilipigwa stori kichizi , kwani Dr KB na Kif walikuwa hawajakutana siku nyingiiii. Kif alitoka muda murefu Mwanza , aliondoka uku mie mwana Blog hii akiniachia njia za kupenya katika mamboya kupale nilitusua matamasha yote uku yeye akiwa Tayari anabishana Dar . Hebwana nawakumbuka B.W.V katika tamasha lao la Miss Celtel Geita nikiwa kidato cha nne niliambatana nao jukwaani na nilipata nafasi ya kumilikijukwaa kwa dakika kadhaa niki form hiyo uku mkuu wa Wilaya Geita na wageni wengine ukumbini wakitaamaki nika kamua singo yangu iliyokuwa ikizungumziamaisha ya baadaye nilipo rudi tu shule nikawa staa wa shule fullu kujikombea ....... niliyemtaka samba mba na zawadi kupewa mara kwa mara nabintimmoja wa kiarabu alikuwa anamiliki duka ebwana usitaa ua ni mzuri, siku hiyo B.W.V muzika wao ulitetemesha Mkuu wa Wilaya kwani singo ilizungumzia ubovu wa Barabara ambapo uliombwa kurudiwa mara 4 hiyo ndio siku kesho yake ulitambulishwa kituo cha redio RFA mchana shoo nyingi za B.W.V...

Jameni sasa sisi Wekundu Tumekosa Zawadi ya Krismasi

Hapa ni Jijini Mwanza

Mambo ya Flevani ni Katika Fleva Night Leo