MDAU amejitokeza kuiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)
kuwachukulia hatua kali za kisheria wote wanaotumia mitandao ya kijamii kwa
nia mbaya .
Mbali na suala hilo kuwa limezungumzwa mara kwa mara BW.Laurence Mabawa
amewaambia waandishi wa habari jana Dar es Salaam kuwa watu wamekuwa
wakitumia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari wakidai kuwa
watu wanaojitokeza kumpongeza Mh.Rais John Pombe Magufuli kuwa
wanajipendekeza jambo ambalo si kweli.
Alisema kuwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania
ya mwaka 1977 Ibara ya 18 inatoa haki kwa kila mtanzania kutoa
maoni yake bila kuvunja katiba.
"Kwa hiyo kitendo cha Raia yeyote kushambulia kwa maneno makali na
yakuhudhi kwa uamuzi wake wa kutoa maoni kwa kile anachokiona hakikubariki
hata kidogo,"alisema Mabawa.
Alisema kama jinsi watanzania na wasio watanzania tunavyo tambua
kazi kubwa na nzuri ya kutetea na kupigania rasilimali za taifa
inayofanywa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya
Rais Dkt.Magufuli Rais wa wanyonge na maskini.
Hata hivyo kama Mtanzania Mzalendo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) nimeamuha kuchukua jukumu na kuanzisha kampeni ya Magufuli
Baki yenye lengo la kumpongeza Rais kwa kazi anayowafanyia watanzania
bila kujali itikadi zao.
Laurence alisema Magufuli Baki ni kampeni itakayohusisha mikoa yote
Tanzania kwa nia ya kuwafikia wanafunzi na wananchi kwa kufanya
mikutano yenye nia njema ya kumwombea Mh.Rais Magufuli habaki
katika misimamo yake ya kutetea wananchi wanyonge na maskini.
Aliedelea kueleza kuwa kampeni hiyo itawapa fursa wananchi
kutoa maoni kupitia mikutano atakayoifanya ambapo wataweza
kutoa maoni yao.

Comments