Skip to main content

YANGA SASA WATAKUWA WABABE WA AFRIKA



IMG_0078
Na Baraka Mbolembole
Mabingwa mara mbili mfululizo wa ligi kuu Tanzania Bara, timu ya Yanga SC imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) kufuzu kwa hatua ya makundi katika michuano ya Shirikisho Afrika.
Yanga ilikuwa timu ya kwanza pia ukanda huu kufuzu kwa hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika mwaka 1998. Ni wa kwanza katika kila kitu na licha ya kupoteza game ya marejeano jana Jumatano huko mjini Dundo, Angola dhidi ya wenyeji wao Esperanca, mabingwa hao mara 26 wa kihistoria Tanzania Bara wamefanikiwa kukata kiu ya mashabiki wao na wadau wa kandanda Tanzania ambao wamekuwa wakilalamika namna klabu ya VPL zinavyoshindwa mapema katika michuano ya CAF kila mwaka.
Timu ya mwisho ya Tanzania na Afrika Mashariki kufuzu kwa hatua ya makundi ya michuano ya CAF ni Simba SC ambayo inakumbukwa namna walivyowavua ubingwa wa ligi ya mabingwa Zamalek ya Misri na kufuzu kwa hatua ya makundi mwaka 2003. Miaka 13 Leo, Yanga wamefanya hivyo tena, japokuwa safari hii ni katika michuano ya Shirikisho.
Wakati ule (1998) walipofuzu hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika ligi ya mabingwa, Yanga walipangwa katika kundi moja na Asec Mimosas ya Ivory Coast, Manning Rangers ya Afrika Kusini, na Raja Casablanca ya Morocco. Kwa wakati huo, Asec na Raja zilikuwa timu tishio sana katika michuano ya CAF hivyo Yanga ni kama waliangukia katika ‘kundi la kifo’ na kilichowakuta katika michezo 6 ya makundi hawapendi kabisa kukikumbuka.
Waliishia kupewa jina ‘Jamvi la Wageni’ kwa maana game yao ya kwanza tu dhidi ya Raja walikutana na kipigo cha ‘mbwa mwizi’ kutoka kwa Raja baada ya kuchapwa 6-0, Casablanca, wakapigwa 3-0 na Asec katika uwanja wa Uhuru, wakaenda Afrika Kusini wakapigwa 4-0 na Manning Rangers.
Walipoteza pia ugenini 2-1 dhidi ya Asec. Matokeo 1-1 dhidi ya Manning na 3-3 dhidi ya Raja katika uwanja wa Uhuru yalikuwa mazuri zaidi kwao katika michezo 6 ambayo walimaliza wakiwa wameruhusu magoli 19 na kufunga magoli matano tu. Hili halitajirudia na Yanga haitakuwa tena ‘jamvi la wageni’ katika michuano ya CAF.
FUS Rabat, Kawkab Marrakech zote za Morocco, Etoile du Sahel ya Tunisia, Ahli Tripoli ya Libya na MO Bejaia ya Algeria, Medeama ya Ghana na TP Mazembe ya Jamhuri ya DRC ni timu nyingine 7 ambazo zinasubiri kupangwa katika makundi mawili ya michuano hiyo. Yanga imepiga hatua sana ndani ya uwanja, katika utawala na mashabiki wanatembea kwa majigambo kwa kuwa wanaona kazi inayofanywa na timu yao.
Yanga SC ilikuwa ‘jamvi la wageni’ 1998, sasa watakuwa wababe wa michuano kwa maana wana timu nzuri, kocha mzuri, uongozi mzuri, na timu kiumjumla ni bora. Yanga haitaishia hatua ya makundi tu, imani yangu ni itasonga mbele zaidi ya hapo na watavunja rekodi zao wenyewe. Hongera sana Yanga SC kwa kufuzu hatua ya makundi Shirikisho Afrika.Source http://shaffihdauda.co.tz

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...