Mose Iyobo ambaye amezaa na star wa Bongo movie Aunt Ezekiel
amesema hasa hasa amenufaika sana na umaarufu wa Aunt Ezekiel kwa
kujulikana zaidi.
“Kuwa na mahusiano na mama Cookie kumenisogeza sana,” alisema Mose.
“Kwa sababu ni star wa filamu toka kitambo sana. Mimi nilikuwa
najulikana lakini siyo kivile, lakini nilivyokutana na Mama Cookie kuna
vitu vingi vimeongezeka katika maisha yangu,” alisema Mose.
Pia Mose amesema mwanae Cookie ataonyeshwa hadharani rasmi kwa mara ya kwanza tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja.
Source: Bongo5
Comments