Wachezaj wa mabingwa mara nne mfululizo wa Ligi
Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Bayern Munich wamefanya party kusherekea
ubingwa wa ligi hiyo ambapo walijumuika kwa pamoja wakiwa na kocha wao,
Pep Guardiola na baadhi ya viongozi wa klabu hiyo.
Mkurugenzi wa michzo wa Bayern Munich, Matthias Sammmer akizungumza jambo na Juan Bernat.
Robert Lewandowski.
Jerome Boateng akizungumza jambo na kocha wake, Pep Guardiola.
Thomas Muller akicheza katika jukwaa.
Robert Lewandowaski akionyesha uwezo wake wa kucheza.
Bendi ya OneRepublic ikiwaburudisha wachezaji wa Bayern Munich waliojumuika kufurahia ubingwa wa Ligi Kuu ya Ujerumani.
Comments