Msanii Wema Sepetu Inatoka Facebook
Wema
Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii
Alikiba na kusema huwa zinamkosha sana na kudai hajawahi kumuangusha
siku zote
"Ila huyu bichwa wangu mimi ananikoshaga sana. Na mumuachage tu
kwakweli. Bichwa una sifa lakini maana si kwa Vocal hizi. Halafu mimi
siwezi kukubania namba bana. Naupenda sana huu wimbo jamani. Wajua
kutukunaga mashabiki wako. Good work Bichwa wangu Officialalikiba did it
again ladiez & Gentlemen" aliandika Wema Sepetu
Mbali na hilo Wema Sepetu amempa pongezi msanii Alikiba kwa kuweza
kusaini mkataba chini ya kampuni ya muziki ya 'Sony Music' na kusema
kuwa alistahili hilo na zaidi ya hilo kwani anakipaji kikubwa.
" God Grants accordingly... Congrats Bichwa wangu for that Big
Contract... You deserve it & more... Time Heals all wounds... The
Sky remains to be the only Limit for u baba..."
Comments