Mgombea urais nchini Marekani Donald Trump amesema atabaki na
msimamo wake wa kumtetea Mike Tyson kuwa hajawahi kumbaka mtu na kwamba
sio mmbakaji.
Wampinzani wa Donald Trump wametumia kesi ya ubakaji ya mwaka 1992 ya
bongia Mike Tyson ambapo Donald Trump alimtetea mpiganaji huyo.
Donald amejibu kwa kusema “Sababu Mike Tyson amenikubali na kuliweka
wazi jambo hilo mitandaoni, basi ishakuwa issue, Sijaonana na Mike kwa
miaka mingi sasa ila yeye kafanya hivyo kuonyesha anakubali nachosema”
Comments