Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2010

HILIKUWA SOO JANA MAKAMUZI YALIKUWA MAKUBWA

HAPA palikuwa hapashikiki jana (pichani) aliyevaa vitto ni msanii wa muziki wa Hip Hop Chid Benz akiwa na mratibu wa disko la Mzalendo Pub Dj Venture.

CHID BENZI AKIWA KATIKA POZZZ NA MDAU

MWANA hali hii (pichani) ni mandhari ya usiku wa jana pale Mzalendo Pub Dj Bon Luv Dj Mackay sasa ni full shavu kuna nyomi ya kufa mtu kila mwisho wa week hand babake stori zina pigwa za kufamtu siunajua pande zote za kitaa zinakutana kufanya makamuzi hapo.

DJ STIVE KAFAYA NA DJ OSCAR WAKIONESHA TABASAMU JANA USIKU

HAWA ni wakali katika anga za u Dj kulia ni DJ Oscar na kushoto (Pichani) ni Dj Stive Kafaya wakiwa na nyuso za tabasamu ni Mzalendo Pub jana. Stive kwa sasa anatwanga mangoma East Africa Redio hapa Bongo .

JANA ILIKUWA NI BASEDEI YA PRODYUZA JAY

Prodyuza jay amabye jana saa 6:00 usiku alianza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa (Pichani), wapili kutoka kushoto baadhi ya rafiki walijumuika pamoja usiku huo, ambapo msanii nguli wa michano ya kufoka foka Fid -Q . Mwenye rasta (Pichani), pamoja na mwenye blog hii tulijiachia na mnyamwezi huyo wa Mawingu studio ya Msasani jijini Dar es Salaaam yote haya yalitendeka kwenye jengo la Millenium Tower Kijitonyama uku DJ Mackay akitwanga mangoma.

TWANGA PEPETA IKIWA JUKWAANI JANA

WALIFANYA makamuzi kama kwaida na mashabiki walikubali shughuli yao.

HAPA NI MANGO GARDEN JANA

(Pichani) kulia ni muimbaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi wa Twanga Pepeta wa pili ni mimi Machibya mwenye blog hii na kulia ni Ismail kulikuwa na mambo kibao yaliyokuwa yakichengua kinamna usiku wa jana sambamba na urtaratibu uliopo katika jiji la Dar es Salaam yale mambo ya kujiachia uku bata zikiendelea.

Dr Ambe aingiza tena My Dear Soseji

KITAA sasa apatoshi siunajua mapenzi yanaongoza maisha basi Dr ambe mwenye umaarufu katika kukuchombeza ndani ya starehe za kimahaba amedondosha kali na zinanunuliwa kama.. mitaani usimkose kumsoma babake mamboflani Pipi ya Kijiti fuuuuuuuu mautamu na sasa kila wiki atakuwa akishusha kali katika blog hii usikose kuchabo si unajua kila uchao utinga na mambo yake .

FIZO AJA NA MAPYA

VICTOR Faiz Bhahaji (Fizo a.k.a Director) , akiwa amejiachia na mwana dada Mishel  nyumbani kwao Fizo maeneo ya Magomeni juzi. Mwaka  2002 ndipo haswa makamuzi yake kwenye gemu yalionekana dhahiri , kwa sasa mchizi kaisha jua mambo kibao ya gemu na hivi karibuni ametua kutoka Uganda anasema mabadiliko  ni lazima kwa msanii , wasanii Uganda wapo juu sana kimaisha sikia tu kwanini na hapa pasiwe kama kule !!! haya ni maongezi tulipo kuwa tukipiga nae story.

BENDI YA TANZANITE IKiWAJIBIKA JANA USIKU MZALENDO PUB

HAPA ni anga za makamuzi ya Tanzanite kila siku ya Ijumaa kwenye mjengo wa Millenium Tower  kwenye ukumbi wa  Mzalendo Pub  , (Pichani) mwanadada Grace akakamua na sauti yake yakweli katika uimbaji

HILI NI ENEO LA BARAZA LA MITIANI BARABARANI BAJAJI ZINAWEZA KUSABABISHA AJALI

UKITAZAMA katika( picha ), utaona seshemu ya wapitao kwa miguu ambapo pia Bajaji zimekuwa zikipita kunakakijishimo lakini Bajaji zikipita bila woga ambapo ni hatari sana kwani inaweza kutokea ajali mbaya.

FLANA ZENYE MAANDIKO ZINAZO UZWA MITAA YA KARIAKO ZAZIDI KUSHAINI

MFANO wa flana ikiwa katika maandalizi ya maandishi , kwa sasa zimepanda chati hile mbaya , hapa ni mitaa ya Kariakoo ambapo kuna vijana wako bize kufanya kazi hiyo , kuna maandishi mengine labda yanaweza kuandikwa hivi Kama Vipi Vipi 2  , nakadhalika .

MLELA AKIWA NA MASHABIKI WAKE!!

MUIGIZAJI anayepanda chati kwa kasi sana katika angala filamu hapa Bongo . Melela ameonekana kuwa na mvuto katika sana yake hiyo , hapa akiwa pichani na mashabiki wanao muhusudu ilembaya katika viwanja vya Leaders Club. (Pichani) wakwanza kutoka kushoto ndiye Mlela.

MARIAM MDEME KATIKA ANGA ZA FILAMU SASA UJIO WAKE

MARIAM Mdeme ambaye nyota yake ilishaini mika sasa tangu akiwa kwenye kundi la uigizaji la Kaole kwa sasa anapoteza ilembaya katika anga la filamu Bongo ambapo kwa sasa anga la filamu limekuwa na ujio mzuri wa nerehema , kwani wengi wasanii hao wameonesha kumiliki magari mazuri sambamba na kuwa juu katika mambo mengi tu ya kimikwanja. Filamu la Pooja ndio ujio wake Mariam akiwa amewashirikisha nyota kibao kama Jini Kabura ,Mzee Chilo, Kojaki , Sinola , Chid 'Mzee wa mbele'Sitive Nyerere wengine ni Dr Cheni Dotinata na wengine Kem Kem.

HAYA HAPA MAKAMUZI YA FLAVA NITE

BAADA YA KUTOKA OMAN ALIYEKUWA MNENGUAJI FM ACADEMIA

ALIKAA miaka sita FM Academia akapata mchongo hivikaribuni mwishoni tu, mwa mwaka jana jina halisi anaitwa Said Mtyanga alipokuwa ndani ya FM Academia alipewa jina la 'Matonge' aliye simama kutoka kushoto (Pichani) na alipewa jina hilo kutoka kwa kingozi wa bendi hiyo Nyosh El Saadat na kulia ni msanii H Baba . Alitimukia Oman na akiwa uko alifanya shoo za maana nakujipatia kipato kupitia Hotel zenye umaarufu . Aliimba uko ughaibuni takribani miezi miwili, na baadaye mwisho huo huo wa mwaka jana akatia timu ( DRC), kwa sasa ametua na kujikita Twanga Pepeta . Na jumamosi ya wiki iliyopita alifanya makamuzi ya maana akiwa na bendi hiyo mpya, kwa harakati za muziki wa dansi hapa nchini kumekuwa na mashindano ya juu sana kati ya bendi ya FM Academia na Twanga Pepeta kuna hali ya juu katika ushindani wao huku kila bendi ikikamua kwa manufaa . Bendi nyingine ni Acudo inayofanya makamuzi yake mara kwa mara Msasani Beach Club na inawapenzi wake wengi tu katika jiji hili la maraha Dar...

ALLY BAUCHA AKIPIGA STORI NA MASANJA

HAPO waliweza kupiga stori na kuonesha bashasha katika kila neno walilokuwa wakizungumza katikati ni msanii Masanja kutoka kundi la Zekomed (Pichani), na kulia ni Ally Baucha.

WAMEKUTANA NA KUPIGA STORI HAWA

Kutoka kushoto (Pichani) ni Ally Baucha ambaye ni Prodyuza wa Baucha Records na katikani ni msanii wa filamu Kanumba na kuliani Tito Clement ambaye ni meneja wa Studio ya Baucha Records yenye maskani yake Magomeni Dar es Salaam. Hapa wakipiga stori.

KIPUTE LIGI YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17 IDYOSI

lIGI hiyo iliyochini ya Chama Cha Mpira wa Miguu Ilala (IDYOSI ), ilianza jumamosi kwa hatua ya makundi uku kundi B likitimua vumbi kwenye kiwanja cha Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa Dar es Salaaam.

LADY JAY DEE & Machozi Band

CHEKI Jadee unabamba na Liveon stage Dar unazungumza nayo , imetulia sana hii.

Viwanja vya Leaders Week Hand ilivyo Malizika Vyema Juma lililo Pita.

Hapa ni katika Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam na (Pichani ), aliye vaa shati ya mitali ya drafuti ni Mh Mbunge wa Kinondoni Idd Azani na aliye valia viatu vya Raba ni wa muziki wa Bongoflava H - Baba na kilia ni msanii Nyota wa maigizo Dude hapa wakipiga stori za 'kufamtu'.

Hapa ni Mango Garden juzi Usiku

Wasanii wa Mwanza Riso ama Zagamba Mamba (Pichani), kushoto na wapiliu ni H-Baba na kimwana huyo wakiwa kiwanja hicho cha Mango Garden . Riso amesema amefanya balaa la makamuzi ya muziki wake hivi karibuni nchini Uganda.

Ni makali ya Flava Nite Babake!!!!

Haya yalikuwa makamuzi babu kubwa katika disko la Flava Nite Millenium Towe , na huo( Pichani) , ni muduara siunaona utamu unavyobamba .

Hawa Jana Walikuwa wanakula Bata Mzalendo Pub

(Pichani), kulia ni Dj Venture na wapili yake ni Adam Mchomvu  ambaye uendesha vipindi vya muziki Redio Clouds FM na kushoto ni msanii Mchizi Mox usiku wa jana walikuwa wakikamua bata ndani ya jengo la Millenium Tower Kijitonyama.

Chid Mzee wa Mbele Akiwa Akiwa na Maongezi Jana Viwanja vya Leaders

(Pichani), mwenye flana yenye mistali aitwaye Chid Mzee wa Mbele akiwa kwenye mazungumzo na anagongewa tano na mdada  na mambo yalijili mengi katika viwanja vya Leadrs jana kama maelekezo haya unavyo yaona.

DJ Mackay akiwajibika

DJ Mackay aAkiwapoteza Mashabiki Jana Kwenye Ukumbi wa Mzalendo Pib

Mashabiki  wa disko la Flava Nite jana waliendelea kujirusha kwa kwendambelee ambapo (Pichani ), DJ Mackay  akiwatendea vema kwa kutwanga mangoma .

Bendi ya Mziki wa Dansi ya Twanga Pepeta ikiwajibika Jana Usiku Mango Garden

Bendi hiyo kwa sasa licha ya umashughuli wake ebwana wanabamba mpaka ileile kama vipi upendi wewe basi sepa kivyako tupotezee  , Twanga iko kileleni inajituma inatawala jukwaa kila idala ikomwake sasa kwanini wasiwe juu babuuu.

Hapo ni Maeneo ya Mango Garden

Muimbaji mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta Msafili Diof akicheza Pool (Pichani) , uku msanii maarufu H- Baba akiamesimama akicheki SMS katika simu yake, jana usiku bendi hiyo ya Twanga ilipepeta ilembaya.

Kikosi cha Zantel Kilichotoshana Nguvu na Bendi ya Twanga Jana

Kikosi cha temu ya Zantel kikiwa mapumuziko uku kocha akiwapa maelekezo

Kikosi Cha Twanga Pepeta Kilicho Pambana na Zantel Jana Viwanja vya Leaders Club

Teamu zote mbili zilitoka Suluhu kwa mambao 3-3 ukumchezo ukiwa wa kasi na wakuvutia.

Watu Wa Zantel Kweli Walijiachia kivilee Wikiendi Ikawa Bomba Kama Kawa

Kama Vile si Wenye Vileeee ni Mapozzz Kwa Kwenda Mbele

Hatari hapana wamejiandaa hawa je Safari kama hii jama wameshibana ama wanatupima yalikuwani maneno kutoka sehemu mbalimmbali Viwanjani Leaders jana , kwani matukio kama haya watu walikuwa wakiyapimia kinoma.

Mkuwa Hapa ni kwa Raha Zao Babake!!!

Ebwana ni mambo ya jana Viwanja vya Leaders Club wafanya kazi wa Zantel walifanya kujiachia ilembaya usiwapimie jana babake!!!

Zantel Wafanya Mapozi ya Kiutu Uzima Babake

Hapa sasa Zantel Walifanya Makamuzi ya Kujiachia !!!!!

Zantel Yafanya Makamuzi Jana

(Pichani ), mashabiki wa Timu ya Zantel ambao ni wafanya kazi wa Kampuni hiyo  jana , mashabiki hao walitia timu Viwanja vya Leaders jijini Dar es Slaam kuishangilia temu yaho ya Zantel ilipopambambana na timu ya Twanga Pepeta na kutoka Suluhu ya bao 3-3