Pichani Mkurugenzi mtendaji wa benki ya KCB Cosmas Kimario.
WAFANYA biashara waelezwa jinsi ya kupata mafanikio zaidi
mara baada ya kupata mikopo katika mtazamo wa biashara zao.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi mtendaji wa benki ya KCB Cosmas Kimario
Dar es Salaam jana katika mkunano na wafanya biashara hao,ulioitwa
Biashara Club ukiwa na lengo la kuangalia changamoto wanazoku
tana nazo wafanya biashara na kuweza kupata ufumbuzi.
Alisema benki hiyo imeandaa mkutano huo hili kuwakutanisha
wafanya biashara wa ndani na wanje hilikuweza kukutana
na kuongea mambo yao ya kibiashara ambapo imeimizwa pia
wanaopata mikopo wasiiende kutumia kinyume na matakwa ya
mikopo.
"Wafanyabiashara wanaoweka pesa zao katika benki ya KCB
tumeweza kuwakutanisha katika Biashara Club lengo ikiwa
ni kuwakutanisha na kufanya mazungumzo na kuibua changa
moto walizonazo na kuzizungumza hili kuleta maendeleao
yenye tija,"alisema Kimario.
Kimario alisema kuwa wafanya biashara nchini wanaoagiza
bidhaa zao kutoka nje ya nchini tumekuwa tukiwakutanisha
ambapo kwa mwaka jana waliweza kuwapeleka katika nchi
za China na Japani.

Alisema kumekuwa na manufaa kati ya wafanya biashara nchini katika mpango
wa kuwakutanisha na wafanya biashara wa nje,kwani wamekuwa wakiweza
kuonana moja kwa moja na kuzungumza mambo yao ya biashara na kuwa
kupitia mpango huo wanamatumaini ya kuwavutia wafanya biashara
wengine kujiunga katika benki hiyo.
Naye Charles Adofu ambaye ni mkufunzi wa ufuatiliaji wa kodi
katika biashara alisema kuwa moja ya changamoto wanazokutana
nazo wafanya biashara ni mfanyabiashara kuwa na elimu ndogo
katika kuanzisha biashara.
Alisema kutokana na elimu kuwa ndogo uweza kuanzisha biashara
katika maeneo bila kujua makato ya tozo za Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA).
Benki ya KCB imeeleza kuwa wameendelea kufungua matawi yao
katika mikoa mbali mbali nchini nakuwa imezidi kuweka
mashariti nafuu kwa wateja na pia wateja wenye smart Phone
wamekuwa wakipatiwa modern App hili kutumia huduma za kibenk
katika hali rahisi kabisa.
Comments