Ramsey
Nouah ameoa na ana watoto watatu ila mtoto wake wa kwanza alizaa kabla
ya kuoa na anaishi Marekani, mkewe anaitwa Emily na amezaa nae watoto
wawili yaani Quency na Camili.
Muigizaji mashuhuri wa Nollywood, Ramsey Nouah, ametekeleza alichoambiwa na mashabiki wake kwa kujiunga na masuala ya siasa.
Katika mazungumzo yake na Nigeriafilms, Ramsey alisema kazi ya siasa
angeweza kuikataa ila mashabiki wake wanataka awe mwanasiasa.
Comments