Lady Jay Dee' Afanya kichupa kipya' South Africa,Dabo Yupo,Uzinduzi Nov 28 M.O.G Bar & Restaurant.
Shabiki wa Lady Jay Dee kaa tayari kwa
wimbo na video mpya kutoka kwa msanii wako, Mpaka sasa taarifa
tulizopata wimbo unatoka tarehe 24 na video itatoka tarehe 28 mwezi huu.
Video itazinduliwa M.O.G Bar & Restaurant.#DressToImpress #LifeIsAToast
Comments