Jana kupitia ukurasa wake wa Facebook Profesa Jay aliweka picha
zikimuonyesha akifungua matawi mapya ya Chadema na kuandika haya ” JANA;
Kufungua matawi mapya na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye
daftari la makazi na kisha kuitumia vema HAKI yao ya kupiga KURA na
kuwachagua viongozi wao kwa maendeleo yao! !! Hamasisha na watu wako ili
wajitambue na kujiandikisha! !!”
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments