Taarifa za mitandaoni , huko Zanzibar kumetokea vurugu,kupiga mawe magari ya serikali huku wafanyakazi wa serikali wakijeruhiwa .. Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa, katika gari hakuwemo katibu hyuo mkuu bali alikuemo dereva wake ambae mpaka sasa hali yake inaendelea vizuri, Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi

Comments