Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimua kizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi ndogo za wizara hiyo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi Magari 10 kwa mikoa na Piki piki 35 ambazo zimekabidhiwa pia kwa Halmashauri 35, Magari hayo pamoja na Pikipiki vimenunuliwa na serikali ili kuhudumia katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu nchini na yamegawiwa katika mikoa ya Pwani, Tabora, Rukwa, Songwe, Kilimanjaro, Kagera, Mtwara, Ruvuma,Lindi na mkoa Wa Ilala, kulia ni Mkurugenzi wa Kinga Wizara ya Afya Dkt. Leonard Subi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimuakimkabidhi funguo ya gari Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dkt Marco Mbata , katika hafla iliyofanyika kwenye ofisi ndogo ya wizara ya Afya jijini Dar es salaam leo kushoto ni Dkt. Mohamed Kodi Mratibu wa Kifua Kikuuu mkoa wa Mtwara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimuakimpongeza Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dkt Marco Mbata baada ya kumkaidhi funguo ya gari leo kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu mkoani Kagera.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akionyesha funguo kabla ya kumkabidhi Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dkt Marco Mbata katika hafla iliyofanyika kwenye ofisi ndogo za wizara ya afya leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiwasha moja ya magari hayo kama ishara ya uzinduzi mara baada ya kumkabidhikwa waganga wakuu wa Mikoa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululi wakati wa makabidhiano hayo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimuakimpongeza Mganga Mkuu wa mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu kulia ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Songwe Dkt. Kheri Kagya
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na waganga wakuu wa mikoa na waratibu wa ugonjwa wa Kifua Kikuu mara baada ya kukabidhi magari na pikipiki za kampeni ya kutokomeza kifua kikuu nchini.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na waganga wakuu wa mikoa na waratibu wa ugonjwa wa kifua kikuu mbele ya magari yaliyokabidhiwa leo.
Baadhi ya pikipiki na magari yaliyokabidhiwa kwa waratibu wa Kifua Kikuu katika halmashari za wilaya.
Comments