Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya
pamoja na wafanyakazi wa Giraffer Ocean View Hotel katika moja ya mabanda ya maonesho
mara tu baada ya ufunguzi wa mkutano leo jijiji Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan
Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo
ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya
Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism
Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti
wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya
siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Julius Nyerere (JNICC)
Muda wa Mkutano ulipokuwa ukiendelea leo
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akipiga picha na wafanya kazi wa Giraffer Ocean View Hote
Comments