Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia
Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu
ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism
Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika
katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere
(JNICC).
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamis Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho
yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International
Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu
yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Julius Nyerere (JNICC).
Sekta ya utalii nchini inakadiriwa kuongeza mapato kufikia dola
bilioni 16 ifikapo mwaka 2025 iwapo itawekewa mikakati madhubuti ya
kuboresha sekta hiyo ikiwemo miundombinu itakayorahisisha watalii kufika
kwenye vivutio.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia
Suluhu Hassan aliyasema hayo wakati akifungua Maonesho ya 3 ya
Kimataifa ya Utalii (Swahili International Tourism Expo) sikuchache zilizopita , maonesho hayo yatafikia kileleni kesho Jijini Dar es Salaam.
Wakati huo meneja masoko wa Ahadi-lodge amesema kuwa soko katika utalii wa ndani limekuwa likikua kwa kasi na matokea yake yanaonekana katika wageni wanaofika katika Hotel kama hii.
Offering an outdoor pool and water sports
facilities, Ahadi Lodge is set in Arusha. Selian Town Clinic is 700 m
from the property. Free WiFi is offered throughout the property.
All units feature a flat-screen TV. Each unit is fitted with a
private bathroom with a bath or shower, bathrobes, and slippers. Free
private parking is available at the lodge.
Ahadi Lodge also includes a year-round outdoor pool. Guests can enjoy
a meal at the on-site restaurant or a drink at the bar. The property
also offers packed lunches.
Sakina supermarket is 800 m from Ahadi Lodge, while Gosheni
Adventures is 1.3 km away. The nearest airport is Arusha Airport, 5 km
from Ahadi Lodge.
We speak your language!
Comments