Skip to main content

Waziri Nchimbi azindua Kamati ya kubuni vazi la Taifa

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt Emmanuel Nchimbi ameitaka kamati mpya ya kubuni vazi la taifa kukamilisha mchakato wa kupata vazi hilo ndani siku 75 ili liwezwe kupelekwa kwenye Baraza la Mawaziri kwa maamuzi zaidi. Akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kamati hiyo, Waziri Nchimbi amesema kazi ya kamati hiyo siyo kuanza mchakato upya bali ni kukamilisha mchakato wa kupata vazi la taifa la mwanaume na mwanamke ulioanza tangu mwaka 2004. Amesema Wizara imefanya mambo kadha wa kadha katika kukamilisha zoezi hilo ikiwa ni pamoja na kutembelea nchi kadhaa za Afrika ili kupata uzoefu wa namna walivyopata vazi la taifa.


Amesema anaamini kwa kupitia mapendekezo ya awali ya kamati na taaluma yatasaidia mchakato huo ili kuwe na vazi la taifa. “Mnayo kazi kubwa kwa sababu lazima tufike mwisho tuwape Watanzania kile ambacho wamekisubiri kwa muda mrefu,Watanzania wanatarajia ufanisi mkubwa kutoka kwa kamati hii.”Alisema Waziri Nchimbi. Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw.Joseph Kusaga amesama watajitahidi kufanya kazi kwa nguvu zote kuhakikisha nchi inapata vazi la taifa kwa sababu ni kitu kizuri nchi kuwa na vazi lake.


Hivi Karibuni Waziri Nchimbi aliteua wajumbe wa kamati maalum inayoongozwa na Bw.Joseph Kusaga ambaye ni Mweneykiti ili kufankisha mchakato wa kupata vazi la taifa,wajumbe wengine walioteuliwa ni pamoja,Angela Ngowi Katibu,Joyce Mhavile,Mstafa Hassanali Absalom Kibanda,Habibu Gunze,Makwaia Kuhenga na Ndesambuka Merinyo. Wakati huo huo Waziri ametoa pole kwa Watanzania wote waliokumbwa na mafuriko yaliyopelekea kupoteza maisha kwa baadhi ya watu na mali kuharibiwa,pia amewapongeza wanahabari kwa kuhabarisha umma pamoja na kwamba wamefanya kazi katika mazingira magumu.
Beatrice Mlyansi na Benjamin Sawe

Maelezo

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.