Kama Jack Wilshere, akiendelea kutumia muda mwingi akiwa majeruhi, Gonzalez anaweza kusajiliwa kwa muda kuziba pengo lake, lakini kikwazo kikubwa kitakachoweza kumkwamisha asijiunge na Arsenal ni umri na ada ya uhamisho, ambayo timu yake itahitaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
.
Comments