Monday, 19 December 2011 21:31 |
MABINGWA wa soka nchini, Yanga ya jijini Dar es Salaam, sasa italazimika kufanya maandalizi yote ya kuwavaa Zamalek ya Misri wakiwa nyumbani baada ya ndoto zao kupiga kambi nje ya nchi kufutwa na ukata unaoikabili timu hiyo. Yanga itashuka dimbani kupambana na Zamalek katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Soka Afrika baadaye mwakani. Awali mabingwa hao walipanga kuweka kambi Afrika Kusini na Msumbiji kujiandaa na mechi hiyo kabla ya kucheza mchezo wake wa kwanza kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumzia hali hiyo kocha wa Yanga, Kostadin Papic alisema jana kuwa wameamua kufuta mipango yao ya kuweka kambi nje ya nchi kutokana na gharama kubwa za kupeleka timu huko. Alisema kutokana na gharama hizo wameona ni bora maandalizi yao yakayafanyia hapa na kuzileta timu nchini badala ya kwenda nje ya nchi. “Kama fedha zingetosha kufanya na maandalizi nje ya nchi, tungeweza kuweka kambi huko, lakini hali imekuwa kinyume kwani fedha ni nyingi na hakuna jinsi zaidi ya kuziita timu kuja hapa nyumbani na kucheza nao," alisema. Alisema kuwa mipango imeanza kuzialika timu za Uganda, Kenya, Zambia na Malawi ili kuja kujipima nchini. “Siwezi kusema ni timu zipi zitakuja, lakini tuna mipango thabiti ya kuhakikisha tunacheza mechi nyingi za kujipima nguvu hapa nyumbani na si vinginevyo,” alisema Papic. Tayari Yanga imepanga kucheza na mabingwa wa Malawi, timu ya shirika la Umeme la Escom United Jumamosi ya Desemba 24 kwenye Uwanja wa Taifa jijini. Aidha kuna mipango ya kucheza na timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa moja ya jaribio kubwa kabisa kabla ya kupambana na Zamalek. Mipango ya mechi dhidi ya TP Mazembe ipo katika hatua za awali. Chanzo ni Mwananchi. |
Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO
By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...
Comments