Skip to main content

CHADEMA watinga na misaada kwa waathirika wa mafuriko Dar


 Mbunge wa Ubungo Bw. John Mnyika (aliyeinua mikono), akimuelekekeza Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Freeman Mbowe, na viongozi wa Chama hicho, eneo la Sinza lililoathiriwa vibaya na mafuriko, walipolitembelea leo
 Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akitoa msaada wa maji, mafuta na vyakula kwa waathirika wa mafuriko Dar leo
 Mbowe akikabiidhi msaada wa mafuta ya kula kwa mmoja wa waathirika wa mafuriko leo.
 Mbowe akizungumza na wananchi waliokumbwa na mafuriko leo.
 Mbowe akiwasilikiliza waathirika wa mafuriko Kawe, alipowatembelea leo

CHADEMA watembelea waathirika wa mafuriko Dar, watoa misaada

 Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari, baada ya kutembelea eneo la mafuriko, Dar es Salaam leo

 Mbowe akisaini kitabu cha maombolezo ya watu waliokufa kwa mafuriko eneo la Kigogo leo
 Akiangalia daraja la Kigogo lililovunjika kwa mafuriko
 Mbowe (katikati), Mbunge wa Kigoma Zito Kabwe, (kushoto) na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika wakijadiliana jambo baada ya kutembelea eneo la mafuriko, Sinza Dar es Salaam leo.
Viongozi wa Juu wa CHADEMA wakiangalia sehemu zilizoathiriwa na mafuriko, eneo la Sinza leo.

Comments