Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiagana na
Kaimu Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Bw Kim Yong Su Mara
Baada ya Kuweka Saini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Kiongozi
wa Nchi hio Kim Jong ll [Picha na Ali Meja}
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitia
Saini Kitabu cha Maombolezo kwenye Ubalozi wa Korea ya Kusini Kufuatia
kifo cha kiongozi wa Nchi Hiyo Kim Jong ll, Waziri aliweka saini kwa
niaba ya Makamu wa Rais Dk Muhammed Gharib Bilali katika Ofisi za
Ubalozini huo Mikocheni Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]
Comments