Mratibu
wa pam\\\bano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya' akiwa
katikati ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi
Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano
lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni Kijichi, Dar es
Salaam siku ya Xmasi. (Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
Mabondia,Maneno
Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man',
wakipima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye
Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas. (Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Comments