Skip to main content

Posts

Gazeti la Mwanachi: Nishati na Madini yawagawa wabunge

KATIBU MKUU AZILIPUA KAMPUNI ZA MAFUTA, ASEMA HAKUNA MGAWO WA UMEME Waziri wa Nishati na Madini, Pofesa Sospeter  Muhongo Mwandishi Wetu WAKATI baadhi ya wabunge wakitaka kuwachukulia hatua Waziri wa Nishati na Madini, Pofesa Sospeter Muhongo na Katibu Mkuu wake, Eliakimu Maswi kwa madai ya kuiuka sheria ya Ununuzi wa Umma, mtendaji mkuu huyo wa wizara ametupa kombora la ufisadi dhidi ya baadhi ya kampuni za mafuta nchini. Wanaowatuhumu akina Muhongo na Maswi wanadai kuwa, walikiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuipa zabuni Kampuni ya Puma Energy ya kununua mafuta ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL na kuziweka kando kampuni zilizokuwa zimechaguliwa kupitia mchakato halali wa zabuni ya Tanesco. Suala hilo linahusishwa na kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando kwamba alichukuliwa hatua baada ya kukataa kutii maelekezo ya Wizara. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili unaonyesha kuwa kumekuwa na mgawanyiko miongoni mwa wa...

WEMA SEPETU ATEMBELEA KITUO CHA YATIMA ARUSHA

HAPA WEMA AKIFUNDISHWA KUCHEZA MUZIKI HAPA WEMA AKAJIFANYA AMESHAANZA KUFAHAMU KUCHEZA MIONDOKO ALIYOFUNDISHWA HAPA WEMA ALIVUTIWA SANA NA WATOTO HAWA AKAAMUA KUPIGA NAO PICHA. HABARI ZAO UTAZIPATA BAADA YA SIKU CHACHE ZIJAZO BONGO MOVIE-WEMA SEPETU AKIWA KATIKA CHARITY EVENT-ARUSHA WIKI ILIYOPITA, ALIWAULIZA WATOTO YEYE NI NANI.. ALL OF THEM WALISEMA WEWE WEMA SEPETU TUNAKUONAGA KATIKA MAGAZETI NA TV. NAJIULIZA HAWA WATOTO WADOGO HIVI HAYO MAGAZETI WANAYAONAJE? NA WAPI... ILA HUYU PICHANI NDO ALIWAACHA WATU MIDOMO WAZI.. ALIWAAMBIA WENZAKE.. MMEKOSEA, HUYU ANAITWA WEMA "DIAMOND". WEMA ALITOA MACHO KAMA KAKABWA NA MFUPA.. ILIBIDI APIGE NAE PICHA. (PICHA, MAELEZO KWA HISANI YA ODAMA 1.BLOGSPOT)

Internatinal Community messed up Cong'says Kagame

By Edwin Musoni & Sam Nkurunziza President Paul Kagame yesterday lashed out at Western countries and International organisations, saying they are the cause of the ongoing crisis in the eastern part of the Democratic Republic of Congo (DRC). President Kagame, Defence minister Gen. James Kabarebe (L), Chief of Defence Staff Lt. Gen. Charles Kayonga and Ag. Commandant, RDF Command and Staff College, Brig. Gen. Jack Mupenzi (R) tour the school yesterday. The Head of State was speaking at the inauguration of the Rwanda Defence Force Command and Staff College at Nyakinama, Musaze District. President Kagame gave a chronology of events that led up to the Congo crisis, saying the two countries (Rwanda and DRC) had made tremendous progress towards pacifying eastern DRC, which has been a haven of various armed groups for the last 18 years. One of the militias operating in the troubled region is the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), ...

Waziri ajiuzulu baada ya ajali ya meli Zanzibar

Kuzama kwa meli visiwani Zanzibar RFI Na Victor Robert Wile   Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Zanzibar Hamad Masoud Hamad amejiuzulu wadhifa wake jana kufuatia ajali ya kuzama kwa meli ya MV Skagit iliotokea Julai 18, 2012. Hatuwa hiyo imefikiwa baada ya rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohammed Shein amekubali ombi la Waziri Hamad Masoud kujiuzulu. Kufuatia kujiuzulu kwa waziri huyo, Dk. Shein amemteua mwakilishi wa Jimbo la Ziwani kupitia Chama cha Wananchi, CUF, Bwana Rashid Seif Suleiman kuchukua nafasi hiyo. Katika hatua nyingine makamu wa pili wa rais wa serikali ya Zanzibar balozi Seif ali idd ametangaza kusitisha safari zote za meli ya MV Karama ambayo inamilikiwa na Kampuni ya Sigal kufanya safari zake kati ya Zanzibar na Dar baada ya kubainika kwamba inauwezo wa kusafiri umbali w...

MMILIKI WA MELI YA MV SKAGIT PAMOJA NA NAHODHA WA MELI HIYO MBARONI

Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Zanzibar Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikilia wafanyakazi sita wa meli ya MV Skagit akiwemo mmiliki wake Bw. Said Abdulrahman pamoja na Nahodha wa meli hiyo Bw. Mussa Makame Mussa na wanahojiwa kufuatia tukio la ajali ya meli hiyo iliyosababisha vifo vya baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Bandari ya Zanzibar. Watuhumiwa hao walikuwa wakihojiwa katika Ofisi za Upelelezi Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Zanzibar ambapo Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, ACP Yusuph Ilembo, amesema watuhumiwa hao wawataweza kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayowakabili. Kamanda Ilembo amesema kuwa Makachero wa Jeshi la Polisi wanaendelea na uchunguzi na kutafuta taarifa nyingine zinazohusiana na tukio hilo. Hata hivyo, Nahodha wa zamu siku ya tukio hilo la kupinduka na kuzama kwa meli hiyo ya MV Skagit, Bw.Mussa Makame Mussa, ameelezea kwa ufupi jinsi ajali hiyo...

WENGER AITOLEA NJE MAN UTD, AGOMA KUMUUZA VAN PERSIE KWA DAU DOGO

LONDON, England KLABU ya Arsenal imegoma kumuuza mshambuliaji wake nyota, Robin van Persie kwa kitita cha pauni milioni 20 kwa klabu ya Manchester United. Kocha Mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger alisema juzi kuwa, watakuwa tayari kumuuza mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi iwapo klabu yoyote inayomuhitaji itatoa kitita cha zaidi ya pauni milioni 25 na 30. “Van Persie ni mmoja wa washambuliaji bora duniani, kama si bora, na lengo langu ni kumbakisha katika klabu. Nitafanya kile ambacho ni bora kwa maslahi ya Arsenal,”alisema kocha huyo raia wa Ufaransa. Msimamo huo wa Wenger huenda ukatoa mwanya kwa klabu ya Manchester City, ambayo nayo inamuwinda nyota huyo, kuongeza dau la kumsajili. Awali, Manchester United ilikuwa tayari kumsajili Mholanzi huyo kwa kitita cha pauni milioni 15 kabla ya kuongeza dau na kufika pauni milioni 20. Mbali na Manchester United na Manchester City, mshambuliaji huyo pia anawaniwa kwa udi na uvumba na klabu ya Juventus ya Italia. Manche...

Yanga, Mafunzo ni Mshike Mshike

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Abdalla Bin Kleb akizungumza na Nadir Haroub 'Cannavaro' leo wakati yeye na viongozi wenzake walipotembelea klabuni na kungumza na wachezaji kwa ajili ya kuwaweka sawa kabla ya mechi yao ya kesho dhidi ya Mafunzo.