Hatua ya robo fainali itaanza kutimua vumbi mapema mwezi Aprirl mwaka huu na makundi hayo yapo kama ifuatavyo:-
Ajax atamenyana na Juventus.
Liverpool dhidi ya FC Porto.
Totthenhum dhidi ya Manchester City.
Manchester United dhidi ya Barcelona.
Mshindi
kati ya Liverpool na FC Porto atamenyana na mshindi kati ya Manchester
United na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali huku mshindi kati ya
Ajax na Juventus atamenyana na mshindi kati ya Totthenham na Manchester
City.
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Comments