Ikiwa ni wiki iliopita tu wakimbizi wanne kuuliwa maeneo
ya Calais, basi wameonekana wengine wakiwa wanaingia kwenye lori hilo
huku hatma yao ijajulikana kama walifanikiwa au walishindwa.... Ni kitu
cha kawaida kuona wakimbizi wakiingia nchini Uingereza ila wengi wao
huishia kufariki kwani ni hatari sana
Siku kadhaa sasa imekua ikisikika wakimbizi wanakufa
wakiwa wanajaribu kuingia Uingereza kinyemera, Picha hizi zimepigwa na
mmoja wa muandishi alipowaona wakimbizi wakiwa waningia katika moja ya
lori lililokua linatembea kuelekea katika jiji la Manchester, lori hilo
lililokua lipo maeneo ya Calais.
Comments