Skip to main content

Mwelekeo wa Kimbunga "HELLEN" na hali ya Mvua



Mamlaka ya Hali ya Hewa imeendelea kufuatilia kwa karibu mifumo ya hali ya hewa na mabadiliko yake pamoja na adhari zake kwa Nchi yetu na kutoa utabiri na tahadhari za hali mbaya ya hewa.
Tarahe 28 Machi 2014 mgandamizo mdogo wa hewa katika eneo la Rasi ya Msumbiji kusini magharibi mwa bahari ya Hindi ulianza kuimarika zaidi na kusababisha kuwepo kwa makutano ya upepo na mwelekeo wa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo mengi nchini.
Tarehe 29 Machi 2014 mgandamizo huo wa hewa (Tropical Depression) uliimarika zaidi na kuwa kimbunga kilichopewa jina 'Hellen' (Tropical Cyclone) uchambuzi ulionesha kuwa kimbunga 'Hellen' kilitarajiwa kuongezeka nguvu (Severe Tropical Cyclone) na kusababisha aongezeko zaidi la mvua na upepo mkali.
Hivyo maeneo yafuatayo yalitabiriwa kuwa na adhari zaidi za mabadiliko hayo kuanzia tarehe 30 Machi hadi 01 April 2014 ; Mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba, pamoja na mikoa ya Dodoma, Singida, Ruvuma, Katavi, Njombe, Iringa, Mbeya na Morogoro.

Viwango vya mvua zaidi ya mm 50 kwa saa 24 zilizopimwa tarehe 30 Machi hadi Asubuhi ya tarehe 01 Aprili 2014.
Tarehe 30Machi- 01April 2014
Morogoro 71.9mm, Mahenge 70.2mm na Ilonga 64.7mm.

Mwenendo wa Kimbunga Hellen katika kipindi cha saa 24 Zilizopita.
Katika kipindi hicho nguvu ya Kimbunga 'Hellen' ilibadilika mara kwa mara na katika vipindi vifupi hususan kilipokaribia pwani ya kaskazini magharibi mwa kisiwa cha Madagasca, hivyo kubadili pia mifumo ya hali ya hewa na viwango vya mvua vilivyotarajiwa katika baadhi ya maeneo ambayo tahadhari ilitolewa.
Hata hivyo kimbunga 'Hellen' bado kipo katika eneo la rasi ya Msumbiji karibu na pwani ya Kisiwa cha Madagascar ambapo kitaendelea kusababisha mabadiliko ya mvua katika maeneo machache, hususan katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya na Rukwa.

Mvua za Masika zinatarajiwa kuendelea katika maeneo mbalimbali nchini kama zilivyotabiriwa. Mamlaka inaendelea kufuatilia mifumo ya hali ya hewa na kutoa taarifa na tahadhari kila inapobidi.

Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.