Ridhiwani
Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa
kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha
tatizo la wakulima na wafugaji kwa kuweka mpango bora wa matumizi ya
ardhi.
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la huduma za afya linatatuliwa, kuboresha miundo mbinu elimu na kurudisha michezo jimboni.
Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Tokamisasa wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge zinazoendelea ambapo aliwaambia kuwa atahakikisha tatizo la huduma za afya linatatuliwa, kuboresha miundo mbinu elimu na kurudisha michezo jimboni.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akicheza muziki na Miraji Mtaturu Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze uliofanyika kwenye kitongoji cha Mbuyu kijiji cha Tokamisasa kata ya Ubena Zomozi.
Sam wa Ukweli akitumbuiza kwenye kampeni za CCM zilizofanyika katika kijiji cha Tokamisasa kitongoji cha Mbuyu.
Msanii wa Mashairi Mwanahamisi
Mohamed wenye ulemavu wa macho akiimba shairi linaloitwa Changamoto
wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze CCM ambapo
Ridhiwani Kikwete alihutubia na kuomba kura kwa wananchi wa kijiji cha
Tokamisasa.
Wakina Mama wa Kimasai wakifuatilia kwa
makini mkutano wa kampeni za ubunge za CCM ambapo mgombea wa CCM Ndugu
Ridhiwani Kikwete alifika katika tawi la Kivuga na kuomba kura.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wafugaji wa Kimasai wa Tawi la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze.
Mgombea Ubunge wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa UVCCM mshikamano Visakazi mara baada ya kuzindua shina hilo lililopo katika kata ya Ubena Zomozi.
(MM)
Comments