Skip to main content

Jimmy Master Kung'ara katika ujio wa Jamal



Baa ya kuchelewa kuingia sokoni

mwaka jana sasa filamu hiyo iliyo

wakutanisha wakongwe   wawili katika

tasnia ya filamu nchini Jimmy Master

na Fike ‘The Wild Cat’ Wilson wakiwa
wamekutana katika filamu moja
iitwayo Jamal ambayo ikombioni kuingia sokoni.

Comments