Kim Kardashian ametangaza kwamba yeye na Kanye West wamempa mtoto wao wa kiume jina Saint.
Kim alitakiwa kujifungua Saint siku ya Krismasi lakini mtoto huyo amewasili wiki tatu kabla.
Kanye hupenda kujiita Yeezus wakati akiimba, na aliachiwa wimbo “I Am God” mwaka 2013.
Comments