Producer wa muziki wa msanii DBanj ‘Deevee’ ametoa malalamiko yake
juu ya msanii ambaye ana imani kuwa anawaibia mawazo yao ya muziki.
Deevee ametoa malalamiko kuwa rapa Mnigeria Olamide amekuwa akiiba
idea za muziki wake na D’banj kila anapoenda kuwatembelea. Deevee
aliandika habari hizi za kushtua kwenye kurasa yake ya twitter.
Deevee pia amemuomba boss wake D’Banj msamaha kwa kuweka wazi habari hii.
With due respect @olamide_YBNL, hav u ran out of ideas? Everytym u
come 2 our zones u always gotta steal some idea..I won’t let this fly —
#OminiProducer (@IamDeeveeLee) December 4, 2015.
I’m vry sry boss @iamdbanj I mean no disrespect but i hv stayd silent
4 too long & I’m ready 2 face d consequences, for dropping the
#OminiProducer (@IamDeeveeLee) December 4, 2015.
Deevee, anasema Olamide ameiga wazo la wimbo “Shake It” wa DBanj.
Comments